Kama si hapa tuseme wapi? Maumivu hayawezi kunyamaza!

Kama si hapa tuseme wapi? Maumivu hayawezi kunyamaza!

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Hii Game Imekuwa Chafu Sana… Who’s Gonna Clean Up the Mess?
Kuna wakati moyo unachoka. Kuna wakati macho yanakataa kulala. Kuna wakati maneno yanakataa kunyamaza hata kama ulimi umebanwa. Hii ni hiyo time. Tumefika mwisho wa uvumilivu. Mtu anabebwa home kwake, usiku, kimyakimya. Hakuna doc, hakuna mwaliko. No paperwork. No protocol. No nothin’. It’s just—get in the car, and you gone.

Unabebwa mbele ya familia yako, mbele ya watoto wako, kama umekosea kuishi. Hii siyo sinema. Hii ni the realest sht ever*. Na mbaya zaidi, haya mambo yanafanywa na wale ambao walituahidi “protection and peace”.

Lakini guess what?
Sasa hivi hakuna protection – ni oppression. Hakuna peace – ni silence through fear.



Je, Sheria Inasema Nini?

Kifungu cha 32(1) cha sheria ya mwenendo wa jinai: "No arrest without reason or warrant."

Katiba yetu inatamka kuwa kila mtu ana haki ya kusikilizwa, kuheshimiwa, na kuishi kwa uhuru – bila kunyanyaswa na mfumo.

Kifungu cha 13(6)(a): “Everyone has the right to be heard before any action is taken against them.”


But right now, the law lookin’ like a joke. Makaratasi mazuri lakini hayana nguvu mtaani.



Where Can We Speak?
Mitandaoni tukisema, tunapigwa pini. Tukinyamaza, tunakufa kwa ndani. Tukisemea hadharani, tunageuka targets. So tell us, where do we cry out? Who’s gonna hear us?

Mitandao yenyewe imegeuka snitch. Ukiandika tu, post inapotea faster than a ghost in the wind. Hii ni digital dictatorship – social media turned cemetery.


Kama Umepitia Maumivu, Unajua Tunachosema.
Haki imekuwa ndoto. Ukijaribu kuitafuta, unaambiwa “sit down, shut up, and disappear quietly.”
And yo, that’s hella painful, bruh.
Unapotezwa, no update, no info, no closure. Just darkness.


Wale Wasiotajika Wanaibeba Game...
Wana move silent kama ghosts lakini wana real powers. Hawa ndio wanadictate fate ya watu. Wakikuweka kwenye radar yao, it’s a wrap.
Hawa ndio “they-who-must-not-be-named” – lakini kila mtaa anawajua.



Wanafunzi wa Maisha Walishasema – Usipojua Historia, Utaishi Kama Kivuli

George Orwell (1984): Serikali za woga huendesha nchi kwa hofu na udanganyifu.

Frantz Fanon: “When we revolt it's not for a particular culture. We revolt simply because, for many reasons, we can no longer breathe.”

Tupac alisema: “Real eyes realize real lies.”

Malcolm X alisema: “You can’t separate peace from freedom, because no one can be at peace unless he has his freedom.”


Na Manabii Walitabiri – Muda wa Giza Utavuma Kabla ya Mwangaza

“The bones of justice lie silent beneath the dust of forgotten names.”
“A generation will rise from silence, and they will speak with fire.”
“This land shall weep, not because of lack, but because of betrayal.”



Mnaotuonea, Tafakarini. This Ain’t It.
Mamlaka is a privilege, not a license ya kuf**k up watu’s lives.
Hii game yenu ya fear tactics ni ya muda mfupi. Mtawahi kuona kamera kubwa sana ya maisha – haitoi nafasi ya ‘editing’.

Huu ni muda wenu wa kutubu kabla ya historia iwaandike kwa damu badala ya wino.
Mambo haya hayataki uhodari – yanataka utu.
Yanataka moyo wa huruma – not a trigger-happy ego full of power fantasy.


Final Word: We Ain’t Gonna Shut Up. This Is Bigger Than Fear.
Hii ni sauti ya wale waliodhalilishwa, waliopotezwa, walioumizwa kwa kunyamaza.
We gon’ talk. We gon’ cry. We gon’ scream. Until the walls hear us.
Na kama hamtaki kusikia – basi historia itawashtaki!



#VoiceForTheVoiceless
#WeStillHere
#WametuchokaHatukuchoka
#EnoughIsEnough
#TukoAlert
 
Samia mitano Tena!!
Sio mitano ni milele na milele. Uzuri hii ataenda kuwaongoza wa kuzimu maana kwa mauaji na ukoboaji wake na mauchafu yake mengine mbingu zishakataa yeye kuongoza awamu nyingine
 
Sio mitano ni milele na milele. Uzuri hii ataenda kuwaongoza wa kuzimu maana kwa mauaji na ukoboaji wake na mauchafu yake mengine mbingu zishakataa yeye kuongoza awamu nyingine
Samia ni mpaka 2030 mkuu...tuombe uzima
 
Samia ni mpaka 2030 mkuu...tuombe uzima
Ni milele na milele Mkuu ila kuzimu kwa hapa duniani amepewa mwisho wake Oct 2025 na anaweza asifike pia tuombe uzima utayakumbuka maneno yangu.
 
Back
Top Bottom