kama si kweli wanawake njooni mpinge

kama si kweli wanawake njooni mpinge

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,363
Reaction score
1,431
Kwa wanaume wote, uwe na mke au demu kama umuonyeshi kumpenda, kumjali, kumpa time yako, kumsifia na hata kuwapenda kuwaheshimu ndg zake hesabu maumivu.....lazima tu vidume watakuchapia.

Hawa wanawake aliyewaumba anajua nini aliweka kwenye akili zao
 
Kwa wanawake hata ujitoe aje kwa mume zungusha kiuno kushinda feni,manjonjo yote jikon ila kaa ukifahamu lazima atakujazia michepuko tu huko nje hasa hasa mabaa mendi wengine wanaenda mbali kutembea na mashoga(gays)chefuuuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa thread hizi,naona akina bushoke wakiongezeka huku wakidhani wanaonyesha upendo. Mimi kufanya kosa hakumhalalishii mke kunikosea,na akifanya kosa nikajua ni serikali ya kichwa changu itakayoamua.
Wanaume tuache kulialia,ikibidi anza upya au vumilia kimyakimya.
 
Back
Top Bottom