kama si kweli wanawake njooni mpinge

kama si kweli wanawake njooni mpinge

Kuna sawa mbili tu za kumzuia mwanamke asiliwe na vidume wengine:~
1.mgegede vizuri
2.mpe hela
 
Kwa wanawake hata ujitoe aje kwa mume zungusha kiuno kushinda feni,manjonjo yote jikon ila kaa ukifahamu lazima atakujazia michepuko tu huko nje hasa hasa mabaa mendi wengine wanaenda mbali kutembea na mashoga(gays)chefuuuuu
Si wanaume wote numbisa. Wako wastaarabu. Born led woth respect. Wanaume wote hawawezi.kuwa sawa maana kila mmoja anatabia tofauti na wametoka kwenye malezi tofauti. Wabaya wako na wazuri wako
Usikarir...
 
MSIFIE unavyo MSIFIA ....MPE muda wako wote ,,,muonyeshe mapenz yako yote KAMA HUMTIMIZII MAHITAJI YAKE,,,elewa UTATAFUNIWA MCHANA KWEUPEE.....mapenzi na PESA ni CHUMA NA GREASE...
 
Back
Top Bottom