Kama Siad Barre wa Somalia, Kagame kutaka maeneo ya nchi jirani kuangukia pua

Kama Siad Barre wa Somalia, Kagame kutaka maeneo ya nchi jirani kuangukia pua

kaputula

Senior Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
173
Reaction score
226
Tofauti na Siad Baare aliyekua kiongozi mwanamapinduzi na mjamaa Kagame ni kiongozi mbinafsi mwenye umbari na malengo ya kurejesha dola ya kihistoria ya watutsi iliyokua inatawala mbali ya wabantu maeneo ya maziwa makuu.

Watutsi asilimia 15 ya raia wa Rwanda chini ya Kagame tayari wanamiliki maisha ya wabantu asilimia 85 Rwanda kwa kumiliki siasa na vyombo vya usalama jambo linawapa wao uwezo wa kumiliki uchumi wa nchi hiyo.

Tofauti na Siad Baare, mjamaa Kagame anasukumwa na ukoloni wa kiafrika na ubaguzi wa kimbari kuvamia maeneo ya Congo eti ni maeneo ya dola ya asili ya Wanyarwanda.

Ukiangalia kile kinaendelea leo Rwanda ni ukandamizaji mtupu wa mbari ya wabantu ambao wao wanawaita wahutu. Kagame hajali wabantu kiasi gani wanakufa rwanda au congo maana ana chuki na kisasi.

Ni wenda wazimu kufikiri anaweza kurejesha dola ya watutsi kuhodhi madaraka na kuwakandamiza wengi maeneo ya maziwa makuu. Huwezi sikia hata siku moja hata akikumbuka kwamba wanyarwanda walio wengi kabisa ni wale yeye anawaita wahutu.

Yeye utasikia tu akitaja watutsi ndio kwake rwanda. Watu wenye asili ya Ethiopia kuja kutaka wao kua ndio watawala kwa wabantu walio wengi Afrika ya kati na kusini kwenye dunia ya leo ni kitu hakitakubalika.
 
Back
Top Bottom