Kama sijakutakia Heri ya Eid basi ujue sikutaki, punguza harakati zako

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mapenzi yana nguvu sana. Yule ninaye mopenda toka moyoni nimemtumia Heri ya Eid tangu Jana saa 2 usiku lakini wewe ambaye umejifaragua na kunitumia salaam imekula kwako. Unatumika tu kama ATM.

Poleni nyote msiopendwa, ambao bila kuanza wewe kutoa salaam kwa mpenzi wako, hupati salaam toka kwake.
 
Dume lenye id ya kike utaja jambishwa ww
 
Toa upapai wako hapa
 
hivi kila mtu akisubiri kuona kama anapendwa kwa kusubiri mwenzake amtumie msg what's going next
 
Yaan wewe kunipenda sio inshu,ninachojali ni kuwa mimi nakupenda inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…