Kama sijawahi kukuomba hela yako na wewe usiniombe utamu wangu 2025

Naunga mkono hoja
 
Kwaiyo binti ukutane na limwanaume mna week tu linaanza kukuomba uchi na lenyewe ukiliomba hela linasema wewe mdangaji

Sasa solution kila mtu abaki na chake
ila ukisema mpaka upewe hela ndio umpe utamu means hapo hakuna anayempenda mwenzie mmekutana tu kila mtu na tamaa zake anataka amalize shida zake..

Mapenzi ni hisia, ukipenda mtu huwezi kuwaza yote hayo
 
Yani kwa kifupi your pussy is not for free.
Sasa mambo yasiwe mengi, huwa unaomba kiasi gani, kwa mtu asietaka mahusiano ya kudumu. Yani awe kila akikucheki mna exchange, anatoa upwiru na wewe unapata hela uliyoomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…