Kama sijawahi kukuomba hela yako na wewe usiniombe utamu wangu 2025

Kama sijawahi kukuomba hela yako na wewe usiniombe utamu wangu 2025

Baki na pesa zako na upwiru wako na mimi nabaki na uchi wangu.. huwezi kuniomba uchi wangu ndani ya wiki moja halafu mimi nikiomba hela ndani ya hiyo wiki unione mimi ombaomba

Hata nyie ombaomba wa uchi na mtakufa na ukame mwaka 2025
Vijana Wana chama chao wala hawaumizi kichwa
 
Mkuu kwani mapenzi ni biashara?
Mnapokoseaga ni kule kutongozana kunafanywa kuwa ni issue ya jinai!

Tangia mtu kukutongoza hadi kufikia kufanya naye mapenzi, inatakiwa upite muda gani?

Wenye akili kama zako wapo wengi, ukimtongoza anakununiiiiiah!

Na ridhaa ya mtu kukulala inatakiwa atoe sh. ngapi?

Uwezi kunitongoza Leo halafu jumapili unaomba mechi… kwanza nakuona huna shida na mimi Bali una shida na uchi wangu.. sijakupenda hata ushaanza kuniomba uchi

Upande wenu mkiombwa hela ndani ya wiki moja mnasema sie ombaomba sasa kila mtu abaki na chake
 
Umeniacha njia panda, haujaeleza baada ya kukutongoza ni muda gani natakiwa 'nijiheshimu' kabla ya kukuomba?
 
Baki na pesa zako na upwiru wako na mimi nabaki na uchi wangu.. huwezi kuniomba uchi wangu ndani ya wiki moja halafu mimi nikiomba hela ndani ya hiyo wiki unione mimi ombaomba

Hata nyie ombaomba wa uchi na mtakufa na ukame mwaka 2025
Nyuchi zipo nyingi online mama na uache kututisha
 
Lakiniumesema mwenyewe mtu akikuomba na wewe unamuomba hela.
Au uko katika mahusiano yenye changamoto za kifedha? Hili lipo kwa wengi tu.
Nadhani unge appreciate tu mtu akikutongoza ni dalili ya kukukubali ulivyo rgardless kama ana mipango ya kudumu.
Unamkataa tu kistaarabu, bila hata kuongea mambo ya hela, kama anajielwa nae wala hakusumbui boss.

Mimi siombagi hela boss yaani labda mahusiano yawe seriously sana

Ila ninaokutana nao ni kuniomba ngono tu yaani mmejuana hata mwezi hamna mtu anaomba ngono hata hajishtukiii

Halafu tukija upande wenu mnatuchamba humu kuwa mahusiano yana week tunawapiga vizinga

Sasa nyie mbona msivumilie mahusiano yakomae ndio muombe utamu?
 
Back
Top Bottom