Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksAsante, nakupenda Pia Melan
Nyuchi zipo nyingi online mama na uache kututisha
😁😁 kumbe upo na jezi nyingine kwanini lakini😁Kwahiyo barter trade imerudi? 😹
Hamna, mwache tu atoe ya rohoni aanze mwaka akiwa mpya mwili na nafsi...Ngoja nimsubili tuone atatumia style gani kulamba haya matapish yake
Jirani unakwamisha harakati za kadogoo 😹Yaani we acha tu jirani. Me nliagiza zangu maji Mhudumu ameniletea yeye chupa ya bati🤔
ila ni maji 😄😂
Kwahiyo barter trade imerudi? [emoji81]
Kwa akili yako ilivyo kubwa lazima utakua ushaonja kidogo 😁Yaani we acha tu jirani. Me nliagiza zangu maji Mhudumu ameniletea yeye chupa ya bati🤔
ila ni maji 😄😂
Hii 2024 inaonekana amekopwa sana,. Mwacheni ateme nyongo😂😂😄Jirani unakwamisha harakati za kadogoo 😹
Sio kosa langu lakini ni la mhudumu😂😂Kwa akili yako ilivyo kubwa lazima utakua ushaonja kidogo 😁
😹😹😹😁😁 kumbe upo na jezi nyingine kwanini lakini😁
Quid pro quo.Ukianza kuniomba sex ujue na mimi nitakuomba hela.. maana wewe ndio mwenye upwiru
Acha uoga wewe 😹😹Hii 2024 inaonekana amekopwa sana,. Mwacheni ateme nyongo😂😂😄
( soma haraka haraka nifute kabla hajaona 😑 )
Hii 2024 inaonekana amekopwa sana,. Mwacheni ateme nyongo[emoji23][emoji23][emoji1]
( soma haraka haraka nifute kabla hajaona [emoji58] )
Hata siku ile ile, haina muongozo hata kidogo.Pesa si ndio nguvu mkuu
Mkuu wewe kuomba sex kwa mwanamke uliomtongoza baada ya muda gani kwenye mahusiano??
Naogopa mashambulizi yanaweza yakaja na vazi jingine nibaki nalia lia hapa😄😂😂Acha uoga wewe 😹😹
🤣🤣🤣🤣 tumtukane nani sasa?Safi sana shindikana , kumbe wewe ni mashirima kula pombe shindikana, ningekuwepo tungelewa tutukane humu tupigwe ban tuje na I'd mpya na mwaka mpya🤣🤣😅😅
Igweeeeeeeeeee 😹😹Hii ndio nzuri kama hawataki kuombanaombana kila mtu abaki na chake
Ona sasa umeshaona ( Ni utani tu mamie )😄😂😂,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah wewe dada hebu nitue kumbe mnakopshaga na sijui