Kama sijawahi kukuomba hela yako na wewe usiniombe utamu wangu 2025

Kama sijawahi kukuomba hela yako na wewe usiniombe utamu wangu 2025

Nafikiri huyu kadogo atakuwa na undugu na Kasongo....kadogoo mbona wewo mombali nanga🎶
 
Nyie wanaume wengi wenu mna wazimu kichwani mwenu, muda wote mnawaza ngono ngono ngono

Umetongoza mdada hata hamjamaliza week ushaanza kuomba ngono.. halafu sisi tukiwaomba hela mnasema sie ni ombaomba

Kama mwanamke hajawai kukuomba pesa, hajawai kukwambia ana nyege anataka umle, basi mfunge hizo zipu zenu

Sina upwiru Sina njaa na pesa yako na wewe jitulize na nyege zako

NIKISIKIA UPWIRU NITAKUPA MWENYEWE USINIOMBE PAPUCHI YANGU

Ukianza kuniomba sex ujue na mimi nitakuomba hela.. maana wewe ndio mwenye upwiru

2025 kila mtu abaki na chake hatuwaombi hela na nyie msituombe papuchi

Nawasilisha
Mtakufa njaa nyie acheni kutunisha vifua wakati hamna.
 
Ona sasa umeshaona ( Ni utani tu mamie )[emoji1][emoji23][emoji23],.
2025 ni hela sio tu kuliwa kwa maneno maneno

[emoji1787][emoji1787] wanaume wa humu wananishambulia mno ila wao wakiombwa hela siku hiyohiyo wanafungua uzi kutunanga

Sasa 2025 hatuna nyege hatuna njaa na uchi hatuwapi
 
Back
Top Bottom