Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ukiona ana pasha kipa unadhani anatoka nani?Ww aliye kwambia kuwa Kanote kaachwa ni nani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yeye ndio alikufanya ujiunge na JamiiForums?Nisipomuona na Singida keshokutwa ndio nitaamini kabisa na ndio itakuwa mwisho wangu kuendelea kuwemo humu ktk Jamiiforums.
Hawezi kujibu hilo swaliYeye ndio alikufanya ujiunge na JamiiForums?
Uko sahihiKwa viongozi hawa wa Simba sitashangaa ikitokea wamefanya hivyo. Timu ina shida kubwa sana ya mshambuliaji wa kati wao kila siku wanasajili mawinga tokea dirisha kubwa lililopita. Hao mawinga sijui wanenda kumpigia nani krosi afunge maana Boko sasa hivi hata kutuliza mpira vizuri ameanza kushindwa umri unamtupa mkono na Baleke sijui kakumbwa na nini. Baleke nahisi anahitaji zaidi mtalaamu wa saikolojia tena haraka sana maana si kwa kukosa kule magoli ya wazi kabisa. Wakati Baleke alipokuja alidhihirisha kuwa ni mfungaji bora kabisa tena akifunga magoli magumu kabisa ambayo kwenye ligi yetu ilikuwa ni nadra sana kufungwa.
Kwa mtizamo wangu sasa hivi Simba baada ya kupata kiungo mkabaji inahitaji sana washambuliaji wawili wa kati kumpa changamoto Baleke mmoja awe mzawa na mwingine awe wa nje. Na viongozi wafanye maamuzi magumu ya kuachana na Saidoo na Boko wampe majukumu mengine kwenye benchi la ufundi. Ikitokea Boko bado anataka kucheza basi aruhusiwe aende kwenye timu nyingine huko akazurure akishachoka kabisa arudi Simba kwenye benchi la ufundi au majukumu mengine ndani ya klabu ya Simba.
Ni mtizamo tu
Saido aende wapi msimu ulio pita kafunga goli za kutosha na msimu huu ana magoli mengi mbona hamna shukuraniUko sahihi
Ni muda wa saidoo kuondoka simba
Unaona Manula anapasha, golini yupo Lakred halafu wewe unaamini atatoka Kibu? Watu mna maneno!!Ukiona ana pasha kipa unadhani anatoka nani?
Wewe utopolo Simba inakuhusu nini?Huyo kanute anafanyaga nini cha maana zaidi ya kucheza rafu na kurusharusha mikono kwa waamuzi? Sadio na Saido ni mizigo mizito hapo Simba.
yani unatuambia eti kanute akiachwa unajiondoa jf, kwani ni mtoto wa bibiako huyo?Wewe utopolo Simba inakuhusu nini?
Ingekua vizuri ungethibitisha habari kwanz ndipo uilete public,vinginevyo ni hisia zako tuSadio Kanoute amebadilika sana, sasa hivi amezoea mazingira, namwelewa sana hasa kipindi hiki cha Benchika, lkn kuna tetesi kuwa ameachwa kumpisha Babacar Sarr, aisee kama ni kweli tumekwisha.
Leo nimeona katika mchezo dhidi ya Jamhuri amekosekana kabisa kiungo wa kupandisha timu mbele, na kwa vile hata benchi hakukaa leo ni dhahiri kabisa kuna uwezekano huyu raia wa Mali ametemwa.
Nisipomuona na Singida keshokutwa ndio nitaamini kabisa na ndio itakuwa mwisho wangu kuendelea kuwemo humu ktk Jamiiforums.
Hakuna mtu wa kunipiga ban mm fala wewe, siku nikipigwa ban nanchang mazima na Jf, kama unaweza waaambie wanipige ban, sifaidiki na lolote kuwemo humu, sana sana nawafaidisha wao tu bwege weweWw aliye kwambia kuwa Kanote kaachwa ni nani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app