Hata hujiongezi, yale magoli si unafahamu yalikuwa ni ya kimkakati na isingekuwa hivyo wasingemuacha.Saido aende wapi msimu ulio pita kafunga goli za kutosha na msimu huu ana magoli mengi mbona hamna shukurani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hujiongezi, yale magoli si unafahamu yalikuwa ni ya kimkakati na isingekuwa hivyo wasingemuacha.Saido aende wapi msimu ulio pita kafunga goli za kutosha na msimu huu ana magoli mengi mbona hamna shukurani
Ungetafuta ukweli kwanza kabla ya kuleta lawamaSadio Kanoute amebadilika sana, sasa hivi amezoea mazingira, namwelewa sana hasa kipindi hiki cha Benchika, lkn kuna tetesi kuwa ameachwa kumpisha Babacar Sarr, aisee kama ni kweli tumekwisha.
Leo nimeona katika mchezo dhidi ya Jamhuri amekosekana kabisa kiungo wa kupandisha timu mbele, na kwa vile hata benchi hakukaa leo ni dhahiri kabisa kuna uwezekano huyu raia wa Mali ametemwa.
Nisipomuona na Singida keshokutwa ndio nitaamini kabisa na ndio itakuwa mwisho wangu kuendelea kuwemo humu ktk Jamiiforums.
Shukrani ipo tatizo umri angalia umiliki wake wa mpira hana uimara na chochote kinatokea anapokuwa na mpira, tarajia kuupoteza tena kizembe tu. Fitness imepungua chanzo umriSaido aende wapi msimu ulio pita kafunga goli za kutosha na msimu huu ana magoli mengi mbona hamna shukurani
Sasa mbona unaemjibu hakuna mahali ameandika mambo ya ban.. sema nini mkali punguza jazba ni hivyo tu.Hakuna mtu wa kunipiga ban mm fala wewe, siku nikipigwa ban nanchang mazima na Jf, kama unaweza waaambie wanipige ban, sifaidiki na lolote kuwemo humu, sana sana nawafaidisha wao tu bwege wewe
Sasa kanoute ni kiungo wa kupandisha team mbele? Watu wengine mpira sijui mnautazama vp!! Kanoute ni kiungo wa wavunja kuni hana ubunifu wowote wa kuifanya team itembeeSadio Kanoute amebadilika sana, sasa hivi amezoea mazingira, namwelewa sana hasa kipindi hiki cha Benchika, lkn kuna tetesi kuwa ameachwa kumpisha Babacar Sarr, aisee kama ni kweli tumekwisha.
Leo nimeona katika mchezo dhidi ya Jamhuri amekosekana kabisa kiungo wa kupandisha timu mbele, na kwa vile hata benchi hakukaa leo ni dhahiri kabisa kuna uwezekano huyu raia wa Mali ametemwa.
Nisipomuona na Singida keshokutwa ndio nitaamini kabisa na ndio itakuwa mwisho wangu kuendelea kuwemo humu ktk Jamiiforums.
Muache kanoute kabisaa, zungumzia huyo saidoo babu mwenye nuksi na gunduHuyo kanute anafanyaga nini cha maana zaidi ya kucheza rafu na kurusharusha mikono kwa waamuzi? Sadio na Saido ni mizigo mizito hapo Simba.
Muachee kabisaa kanoutee, bado yupoo sanaa.Kanoute, Mzamiru hawana hadhi ya kubaki Simba, sema tu Kuna watu wanapiga 10% kupitia migongo Yao. Sasa kiungo gani unachukua mali vizuri lakini pasi unatoa boko