Kama Simba mmemuacha Sadio Kanoute basi mjue mmeiua rasmi Simba Sports Club

Saido aende wapi msimu ulio pita kafunga goli za kutosha na msimu huu ana magoli mengi mbona hamna shukurani
Hata hujiongezi, yale magoli si unafahamu yalikuwa ni ya kimkakati na isingekuwa hivyo wasingemuacha.
 
Ungetafuta ukweli kwanza kabla ya kuleta lawama
 
Saido aende wapi msimu ulio pita kafunga goli za kutosha na msimu huu ana magoli mengi mbona hamna shukurani
Shukrani ipo tatizo umri angalia umiliki wake wa mpira hana uimara na chochote kinatokea anapokuwa na mpira, tarajia kuupoteza tena kizembe tu. Fitness imepungua chanzo umri
 
Hakuna mtu wa kunipiga ban mm fala wewe, siku nikipigwa ban nanchang mazima na Jf, kama unaweza waaambie wanipige ban, sifaidiki na lolote kuwemo humu, sana sana nawafaidisha wao tu bwege wewe
Sasa mbona unaemjibu hakuna mahali ameandika mambo ya ban.. sema nini mkali punguza jazba ni hivyo tu.
 
Sasa kanoute ni kiungo wa kupandisha team mbele? Watu wengine mpira sijui mnautazama vp!! Kanoute ni kiungo wa wavunja kuni hana ubunifu wowote wa kuifanya team itembee
 
Kanoute, Mzamiru hawana hadhi ya kubaki Simba, sema tu Kuna watu wanapiga 10% kupitia migongo Yao. Sasa kiungo gani unachukua mali vizuri lakini pasi unatoa boko
 
Huyo kanute anafanyaga nini cha maana zaidi ya kucheza rafu na kurusharusha mikono kwa waamuzi? Sadio na Saido ni mizigo mizito hapo Simba.
Muache kanoute kabisaa, zungumzia huyo saidoo babu mwenye nuksi na gundu
 
Kanoute, Mzamiru hawana hadhi ya kubaki Simba, sema tu Kuna watu wanapiga 10% kupitia migongo Yao. Sasa kiungo gani unachukua mali vizuri lakini pasi unatoa boko
Muachee kabisaa kanoutee, bado yupoo sanaa.
 
Hizi habari umezitoa wapi? Kama upo huko Sumbawanga ndanindani hama kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…