NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mpaka Sasa naona ujio wa mawinga tu japo Kuna hadithi za Fabrice Ngoma.
Kwa Sasa namba sita na nane unachezwa na Sadio kanuti na Mzamiru Yasini, tukizungumza kimpira Sadio bado hajakidhi viwango vya kimataifa hivyo hivyo na Mzamiru Yasini.
Nadhani usajili wa viuongo wa Kati ili kuboresha kikosi na iwe msaada mkubwa katika kikosi Cha Simba sc, lakini Kama Simba wataendelea kusajili mawinga na kujipa moyo Kati kuwa wapo Bora Binafsi naona kabisa Simba haitafika kokote.
Uchezaji wa Sadio kimataifa bado kulingana na Rafu anazocheza anaweza kuigharimu Timu endapo atakua tegemezi kwa upande wa Mzamiru Yasini Sina Imani nae anapokutana na Timu yenye viungo ngangali Kama Azam huwa anapotea vibaya mno.
Kusajili viuongo wa kimataifa na wenye Experience hakika itakua ni nafuu ya Simba sc lakini tofauti na hivyo naiona Simba ikiangukia pua kimataifa na na ndani ya ligi.