Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Bado wanatakiwa kusajili beki wa kati wa kiwango cha juu, na atakayeingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza! Maana Joash Onyango na Mohamed Outtara wameondoka.
Golikipa wa kumpa changamoto Aishi Manula naye anahitajika! Aisee wakiendelea kusajili kwa mihemko, aibu itakiwa yao kwa mara nyingine tena msimu ujao.
Golikipa wa kumpa changamoto Aishi Manula naye anahitajika! Aisee wakiendelea kusajili kwa mihemko, aibu itakiwa yao kwa mara nyingine tena msimu ujao.