Si nyie ndiyo mna timu bora zaidi Afrika kwa sasa, yaani utopolo united.Kiungo Bora akicheza na Yanga??
Kwani msimu mzima mnacheza na Yanga sc tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha ushabiki jikite kwenye hoja [emoji41]Si nyie ndiyo mna timu bora zaidi Afrika kwa sasa, yaani utopolo united.
Ngoja tuone vurugu ligi ikianza.Bado wanatakiwa kusajili beki wa kati wa kiwango cha juu, na atakayeingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza! Maana Joash Onyango na Mohamed Outtara wameondoka.
Golikipa wa kumpa changamoto Aishi Manula naye anahitajika! Aisee wakiendelea kusajili kwa mihemko, aibu itakiwa yao kwa mara nyingine tena msimu ujao.
Jikite kwenye hoja chama anaweza kucheza namba nane au unaongelea kishabiki.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usiamshe waliolalaMpaka Sasa naona ujio wa mawinga tu japo Kuna hadithi za Fabrice Ngoma.
Kwa Sasa namba sita na nane unachezwa na Sadio kanuti na Mzamiru Yasini, tukizungumza kimpira Sadio bado hajakidhi viwango vya kimataifa hivyo hivyo na Mzamiru Yasini.
Nadhani usajili wa viuongo wa Kati ili kuboresha kikosi na iwe msaada mkubwa katika kikosi Cha Simba sc, lakini Kama Simba wataendelea kusajili mawinga na kujipa moyo Kati kuwa wapo Bora Binafsi naona kabisa Simba haitafika kokote.
Uchezaji wa Sadio kimataifa bado kulingana na Rafu anazocheza anaweza kuigharimu Timu endapo atakua tegemezi kwa upande wa Mzamiru Yasini Sina Imani nae anapokutana na Timu yenye viungo ngangali Kama Azam huwa anapotea vibaya mno.
Kusajili viuongo wa kimataifa na wenye Experience hakika itakua ni nafuu ya Simba sc lakini tofauti na hivyo naiona Simba ikiangukia pua kimataifa na na ndani ya ligi.
Kwani simba amefungwa game ngapi za ligi?Kiungo Bora akicheza na Yanga??
Kwani msimu mzima mnacheza na Yanga sc tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
SAWA .Watu wana mawazo sana duhh! Simba yenye viungo unaowataja ndiyo imecheza robo fainali CAF tena ikatolewa kwa penalties kama viungo wake wangekuwa wabovu the way you say isingefika hapo.
Kila timu ina uimara wake na udhaifu wake , kazi ya kocha ni kuuzuia udhaifu wa timu yake usiwaathiri wao kama timu huku kocha wa timu pinzani akiwajibika kuhakikisha anautumia udhaifu huo kupata ushindi.Timu inaweza kuwa na forward mbovu ikawa na beki na kiungo bomba ikakutandika wewe mwenye forward nzuri ukabaki kusema inakuwaje kakufunga wakati forward yake ni butu ishu ni namna ya kutumia sehemu ulizo imara kummaliza mpinzani huku ukimfanya asiutumie udhaifu wako kukudhuru bara baras.
Kwa mfano YANGA walishindwa vipi kuutumia udhaifu huo walipokutana?
Wydad walishindwa nini kuutumia udhaifu huo kirahisi tu kama udhaifu ulikuwa upo wazi?
NB:Hakuna timu isiyo na udhaifu