Kama simu yako ni original chora huu mstari

________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________
Weka na rangi mkuu
 
Tuheshimiane unataka mistari au rangi
Hahahaaaaa. Umenikumbusha ubishi wa babu yangu... Mwalimu alimwambia baba yangu wakati huo akiwa mwanafunzi, kuwa kuanzia jumatatu uvae viatu vyeusi, (akimaanisha vya ngozi, na sio vya matairi).... Jumatatu mwanafunzi alitinga na matairi km kawaida, jioni mwalimu alimwambia kesho uje na mzazi..... Asubuhi yake babu alimjia juu mwlm kuwa kwani hivi viatu (vya matairi) vina rangi gani eti mwlm?.......
 
Hahahahahhah
 
Back
Top Bottom