Kaliua urambo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 603
- 127
hamfikia hata chembe ZZK,unaacha kutaja watu wenye hoja zenye mashiko,unataja watu wa visasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zamani mbona walikuwa wanaweka kivuli na picha ya mtu na wazee wanasema samtime kivuli kilikuwa kinashndaCDM bwana wao wana kauli kwamba hata ukiweka jiwe litashinda! Hii kauli siipendi
Namtofautisha G. Lema na wanasiasa bali mwanaharakati aliyekamilika. Mtu mwenye uwezo wa kuhoji chochote bila kuogopa mtu.
Nakumbuka alihoji kushinda kwa kesi ya Zombe bungeni, Ulongo wa waziri mkuu na kuwasihi polisi kuangalia uma zaidi ya watawala. Hakukubali uhuni kwenye uchaguzi wa meya wala mwafaka wa kijinga.
Pili anamsimamo kitu ambacho wanasiasa wengi wanakikosa. Pamoja na kuvuliwa ubunge na kujaribu kuvutwa Lema yuko palepale. Ni tofauti sana ona wanasiasa kama Kafulila na Hamadi wabunge wa mahakama walivyopoa wakimwangalia JK Kwa jicho la upole ili aongee na majaji vizuri. Unamkumbuka Zito wa awali na yule wa baada ya kuwekwa kwenye Tume ya kuchunguza mikataba ya madini. Tume ile ilifanya kazi moja tu kumnyamazisha kabisa zito na kumuweka karibu na JK Na ilifanikiwa 100%.
Namfananisha na hayati Chacha Wangwe. Aliwahi kukataa dhamana kuwa bora afie jela kwani mikesi imekua mingi na inampotezea muda. Lema hana kiburi bali anamsimamo
Kikubwa zaidi hana papara kama wengi wanavyozani ndiomaana wakatiwote si mtu wa kutumbulia macho madaraka makubwa ndani ya chama au nchi yake japokuwa anajina na uwezo mkubwa. Kama ilivyo kwa Zitto au M.
Sijui elimu yake lakini ata kama ni form 4 poa tu kwani kawawa alikuwa waziri mkuu
hakuna mwanasiasa aliyehimili mikikimikiki kama G. Lema. John Mnyika sawa ila hana madhara kwenye harakati na hajapata misukosuko tukampima.
Nchi hii imejaa wezi wa mali ya uma na wanaiba waziwazi bila kificho tunaitaji mtu anaweza kukemea waziwazi bila kutumia nahau au tafsida. Mtu mwenye msimamo mkali na mzalendo kama G. Lema.
....pumba zingine bwana utamlinganishaje lema na slaa wewe,lema hafai kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi
Naona mtoa mada hamjui mtu anayemsifia.
CDM bwana wao wana kauli kwamba hata ukiweka jiwe
litashinda! Hii kauli siipendi
hamfikia hata chembe ZZK,unaacha kutaja watu wenye hoja zenye mashiko,unataja watu wa visasi.
Wewe kweli ni Chadema addicted hivi mtu kama Lema unataka hawaongoze Watanzania kama Rais wao ni kituko cha mwaka...yaani kuhuoji hukumu ya Zombe bungeni ndio sifa ya kuwa Rais? Mtu ambaye anaweza kukaa juu ya bonet ya gari huku kalala na gari linakwenda mwendo kasi hivi mtu wa aina hiyo unataka Watanzania wampe Urais kweli.
Naona mtoa mada hamjui mtu anayemsifia.
CDM bwana wao wana kauli kwamba hata ukiweka jiwe litashinda! Hii kauli siipendi
najua unaumwa ugonjwa wa LEMAPHOBIA ww! Mbona hushangai Vasco kuwa Rais?
Wanaowaza uraisi na madaraka ndani au nje ya CHADEMA huu uzi utawauzi sana au kuwagombanisha na Lema.
Nimeangalia hali ya nchi ilipofikia. Nani mwenye ujasiri na akipata bunduki anaweza kumuua nyani kwa kumwangalia usoni.
Zitto haaminiki uliza aliosomanao chuo alivyowageuka wenzake na kupuuza madai ya wanachuo baada ya kupata madaraka chuo kikuu.
John mnyika ni mtulivu na busara lakini hajapata msukosuko na vishawishi kupima uzalendo wake
Mbowe anabusara, mvumilivu na siasa za kati kiasi. Sa nji hii inaongozwa na wendawazimu ambao kwa kutumia busara hawawezi kukuelewa.
Kama majambazi kama Mkapa na Rowasa wanakuwa maraisi kwanini Lema aushindwe.
Kama Slaa akisema hagombei raisi atakaetufaa ni G lema
Yaani bado kidogo npate heart attack, Lema kuwa raisi maweeeeee kweli dunia inafika mwisho afadhali akapewe KIBONDE kuliko LemaNamtofautisha G. Lema na wanasiasa bali mwanaharakati aliyekamilika. Mtu mwenye uwezo wa kuhoji chochote bila kuogopa mtu.