Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015

kwa kweli mimi na CDM, nampenda sana Lema na nilikuwa mmoja wa waliompa kura kuwa mbunge Arusha, ila kwa suala la Urais nadhani bado sana, labada kwa uwaziri.

Kama hafai kuwa Rais hafai pia kumshauri Rais akiwa kama waziri! Urais si ukakamavu wa kusema na kutoa kauli. Urais ni taasisi si mtu.
 

Kwani umeambiwa Dr atagombea tena? Nchi ili iende vile umma unahitaji ebu tuachane na habari za kuwapa hao wazee waliozaliwa na kukulia ndani ya hiyo ccm hawana mapya. Halafu kuna mwanakindaki ndaki wa cdm alinitonya kuwa mgombea urais 2015 siyo slaa bali atakuwa mbowe.
 
Mnaomponda lema hamumjui,is da best.

Namkubali Lema kwa:
  • Ujasiri
  • Moyo wa kujitoa kwaajili ya binadamu wenzake
  • Dhamira ya kweli
  • Kutojikweza wala tamaa ya madaraka
  • Uwazi wa fikra na Moyo

Lakini kwa Urais siafiki kutokana na ukweli kuwa pamoja na sifa za hapo juu za Lema, kwa urais tunahitaji
sifa nyingine za ziada kama:
  • Upeo mpana wa kukabiliana na masuala mbalimbli katika nyanja mbalimbali
  • Kukubalika kwa makundi mbalimbali ya jamii yetu
  • Hekima ya ziada katika maamuzi, n.k.

Kwa Zito, kama ilivyo kwa Lema, ana sifa nyingi nzuri lakini bado anakosa mjumuisho wa sifa nyingine muhimu ambazo zinahitajika kwa kiongozi mkuu wa nchi.
 
Kama kilaza JK kawa raisi kwa vipindi viwili, Lema anaweza kuwa raisi bora zaidi ya ******.

However, kama ni kutoka CDM, kuna vichwa vizuri zaidi vya kushika nafasi hiyo.
 

Mkuu kwa tabia ya Lema ile.......ukitaka CCM waondoke madarakani hata kesho, basi awe mwenyekiti wa CDM!! awe mwenyekiti lakini urais mwingine..!!
 
Mkuu kwa tabia ya Lema ile.......ukitaka CCM waondoke madarakani hata kesho, basi awe mwenyekiti wa CDM!! awe mwenyekiti lakini urais mwingine..!!

hahaaaaa, you really something, ati "hata kesho"; i hope i am reading you right!! ... tooth and nail right??
 
hahaaaaa, you really something, ati "hata kesho"; i hope i am reading you right!! ... tooth and nail right??

nimezungumzia kwa caliber yake ni mtu anayetaka vitu vitokee haraka.....ndio maana nikasema hata kesho, maana anaweza kujipeleka jela miaka mitano akawa na influence au popularity kama mandela!!! ha ha ha!!
 
Mkuu kigezo cha elimu kitamtupa vibaya mno lema.
 
mmmhh ako ka posho unakopata sijui?rack your brain mkuu everything is possible
 
Du jk kafanya urais uwe simpo sana,..2015 ni dr.slaa au lowasa blv t or not.
 



Are you serious? Lema president!! Your having a laugh
 
Ni changamoto za nani hasa atufaa kuwa raisi kwa sifazipi. Tusivunje umoja wetu
 

Tatizo lako ni kuchangia mke na dingi, Lema kawaambia ukweli mnaona soo. DR. MATILDA ANAJUA YOTE
 

Ni upumbavu mkubwa kwa watanzania......
 
Mambo mengine inabidi ucheke tu! Lema awe Rais wa nchi hii? Hata kama wewe ni Kamanda si kila kitu ushabikie! Anyway, ni mtazamo wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…