Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015


Kinachotakiwa kwa Tanzania mama yetu tunayoipenda ni uongozi wa kizalendo na utashi wa kuwahurumia na kuwatumikia wananchi, kama ikibidi GJL ateuliwe kuwa mgiombea wa urais 2015, sifa za utashi wake wa kuwapigania wanyonge anazo kede kede, So be it! CV za page 10 na shahada magumashi hazimsaidii lolote nyaya yangu kule kanyigo BK, hebu tafakari kidogo kuhusu PAUL CHIZI wa ATCL, ni mtaalamu kweli kweli, CV kabambe lakini je sare za warfanyakazi 15 tu kwa shilingi milioni 80 kweli????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Eh Mungu inusuru Tanzania yetu.
 
hatujawahi kua na Rais kutoka kaskazini so safari hii lazima kieleweke...kama sio slaa,lema,mbowe basi ni lowassa
 
Tuendelee kuipenda CDM lakini swala la uraisi ni muhimu kulijadili ila tutafakari zaidi.
 
Mbona mnaanza kugombania gawiwo wakati shilingi hamjazitia mkononi? Au ndo mnatafuta kuwavimbisha vichwa wanaharakati we2 ili waanze kurumbana na dira ye2 ipotee? Kama wamefanya vizuri wasifieni kwa nafasi walizonazo kwa sasa, na si kuhusiana na uchaguzi ambao mgombea urais hajateuliwa na chama. Au mnataka ya Wassira yatimie kwamba CDM haifiki 2015? Safari bado ndefu, na hawa jamaa wa magamba ni wataalamu wa rafu, wameshaandaa mikakati ya kuchafua chama che2 kuanzia kesho pale Jangwani hadi 2015, sasa mkiwakopa maneno yaku2mia, kwamba CDM wameanza kugombania Urais, ha2tafika mbali.

Naamini CDM si ya Slaa, Lema wala Zitto tu, hata we mwenyewe unayeisapoti ni yako, hivyo wapiganaji wacha wakijenge chama, mgombea hawezi kukosa wa kuiendesha nchi.

Kuna siri nzito hapa kati, yaani kuanzia 2012 mpaka Juni 2015, mengi yatatokea, ni bora tusianze kuamini kwamba tuko kwenye tambarare. Mtu hawezi kusema CDM inakufa 2015 hivi hivi wakati ye ndo mtaalam wa fitina, ni bora kila mtu aanze kuwaza ni jinsi gani tutakabiliana na fitina hizo kuliko kujadili hadharani tena kwa kauli nzito nani awe rais.

Kumbuka nchi hizi ziliyoyaona; Zanzibar (2000/2005), Kenya (2006), Ivory Coast (2010/2011), Misri (2012), bora ya Uganda ambapo rahisi M7 kila akilala akaota bado anapenda kuitwa rais anabadili katiba kidogo!
 

umesikia wapi rais au kiongozi mzuri akawa ni mwanaharakati kama huyu wa kijamii? hata ikibidi anakua Rais hatakosa independent analysis na decision making kwa umakini kwa sababu wasomi watamzunguka na kumpotosha na form 4 yake..Tz inahitaji technocrat kama Magufuli na siyo hawa piga domo na siasa zisizoisha.
 
Eti Lema...labda maana people tend to grow and become matured
 

nadhani umejigundua kuwa hauna akili sana
 
Nilipokuwa najadili siasa awali kabisa nikiwa na upeo kiasi.

Ila sasa ni Zuchu na Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…