Kama sio huyu mama sijui ingekuwaje ndugu zangu

Kama sio huyu mama sijui ingekuwaje ndugu zangu

kwa graduates wa 2015-2020 Chukua hii ifanyie kazi. otherwise imekula kwako , ukiwa huna mchongo washikaji hawapokei simu kabisa
Kuna watu wamemaliza 2015 hawana hata experience Kwa kua walikosa hata pa kujishikiza kwenye ushindani wa ajira utumishi wanatoboa kweli? Na private nako mkuu si ndo shida au
 
Back
Top Bottom