Kama sio SYNDICATES za utumwa wa kileo basi ni USHIRIKINA, sababu ya watoto kuibiwa.

Kama sio SYNDICATES za utumwa wa kileo basi ni USHIRIKINA, sababu ya watoto kuibiwa.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu.

Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism.

Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa maana hakuna mwanadamu anachoshindwa kufanya mbele ya pesa.

Sasa unakaa unajiuliza yule mtoto mdogo alieuliwa na kutolewa baadhi ya viungo vyake vilikuwa vinapelekwa wapi na kwa madhumuni gani.

Yani hapo ni vitu viwili tu, EITHER kuna mitandao ya kihalifu (crime syndicates) inayo employ vijana wawaletee watoto ili wawatumie au kuwauza kama sex slaves au wawatoe viungo vyao na kuviuza katika dark market.

AU

Kuna trend iliotokea ya kiganga na ushirikina kuwa ukileta kiungo cha mtoto mdogo kuna mafanikio fulani utapata.


MUNGU ATUREHEMU.
 
Back
Top Bottom