The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hapo aliposema mwafrika ndio nimemtoa akili kabisa na kuishia hapo kwenye kusoma.Kimaumbile hakuna tofauti kwa watu wote, Iwe mwafrika, Mchina, etl mfumo uko sawa, Inashauriwa sharti uchutame ili mzigo ushuke vyema
Elewa neno hususani! Halijabagua ila limeweka msisitizoKimaumbile hakuna tofauti kwa watu wote, Iwe mwafrika, Mchina, etl mfumo uko sawa, Inashauriwa sharti uchutame ili mzigo ushuke vyema
Yaani kila kilichoandikwa kiwekewe na picha ili mimi Chawa nione vizuri mimiChawa picha ipo kule juu
Ila uchawa unalipa sana. Niunganishe na mimi niwe chawa.Yaani kila kilichoandikwa kiwekewe na picha ili mimi Chawa nione vizuri mimi
Mshamba
Ahsante sana kwa Bandiko hili.Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu!
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi!
Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa!
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa!
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja)
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya!
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa!
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha BAWASIRI
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kuisaidia
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile!
Hata kama unafundi wako ni bora zaidi kumtumia Samico Tanzania kama rafiki mshauri kwenye ujenzi na umeme! Kuna watu mpaka leo hawana namba yangu. Huko insta ..@ Samico_Tanzania
View attachment 2886667
🙏 Nakubali kutofautiana.Kwangu sio za ukweli. Muhimu watu wale matunda kwa wingi maana poop ngumu hata ukichuchumaa haitoki na laini hata ukikaa inatoka
Mpitimbi sehem gani? [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naishi mpitimbi bila picha sijui
Kwa mzee Kawina karibia na Soko.Mpitimbi sehem gani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Misheni au Humbaro??
Bro kama ishu ni sensor kwanini usijisaidie ukiwa umesimama?science za ajabu ajabu mnazitoa wapi?
mfuniko unaosema ni upi?
brother mwili wa binadamu umeumbwa kwa sensor nyingi sana
unapopatwa haja miscles zenyewe zikifika eneo salama zitajiachia mzigo ushuke
ishu ya kumaliza au kutokumaliza haihusiani na mascles au kifuniko kama unavyoita
bali ni haraka za mkata gogo hasa wale wa gogo kavu au gumu
pia namna ya kukisafisha
bawasir huwakuta sana watumia tishu au toilettepaper maana njia sahihi ni kutumia maji na sio tp kinyesi hakutakuisha
swala la kukaa au kuchuchumaa yote sana maana hukai kwe ye kiti
tafuteni pesa kengemkeni mitomingi msilete uadui na starehe
na hapo basi ungeleta takwmu za wabawasilika
tuchambue vyanzo vyao
uone kama choo ya kukaa itakuwa.moja wapo?
kukubwa kuhusu matumizi ya choo ya kukaa sio ya watu wengi
sio choo ambayo ni ya public ndo ukaiweka
hapo ni kushare mambukizi sasa
ile inafaa kwa matumiz ya masterbesrom mahotelini ambapo usafi huzingatiwa sana pia
Haja ikikukamata hata ukiwa umesimama inatokascience za ajabu ajabu mnazitoa wapi?

Ikitoka ukiwa umesimama tambua seal zimeshakata kitambo! Inabidi uanze kuvaa pampasiHaja ikikukamata hata ukiwa umesimama inatoka
Sokoni pale misheni? Msalimie mtendaji wa kijiji dada Kuruthumu,.Kwa mzee Kawina karibia na Soko.
Nisamehe bure tu nimekueleza kiufundi mkuu!Hapo aliposema mwafrika ndio nimemtoa akili kabisa na kuishia hapo kwenye kusoma.
Actually huu ni ushauri wa kitaahira tu alioutoa mtoa mada.
Mwisho atasema hata touch screen phone ziliundwa kwa ajili ya wakoma, kama sio mkoma tulia feature phones ama za battan.
Ni mawazo ya watu wajinga, wasio na exposure yoyote na walio na elimu ndogo.
Ndo zangu yaani vya kukaa nakwepa balaaHongera sana kwa ushauri murua.
.Binafsi hata guest huwa ninakwepa choo cha kukalia maana maradhi yako nje nje.
Nakuunga mkono 100% binafsi si enjoy kabisa na huwa simalizi haja ...Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu!
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi!
Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa!
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa!
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja)
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya!
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa!
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha BAWASIRI
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kujisaidia
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
4. Humaliza haja yote