Kama siyo mlemavu sikushauri utumie choo cha kukaa nyumbani kwako

Kwangu sio za ukweli. Muhimu watu wale matunda kwa wingi maana poop ngumu hata ukichuchumaa haitoki na laini hata ukikaa inatoka
Kuna Jamaa yangu àmeowa Mmarekani pure na watoto wake ni Wamarekani pure kitabia.

Basi kuna rikizo akitaka wake Bongo na mama Yao kujuwa Asili ya Baba yake.

Sasa ikabidi twende Mbezi Beach kutafuta shule watakayosoma Kwa muda kipindi wapo Tanzania.

Basi tukaelekezwa the best school maeneo ya Mbezi Beach, mazingira mazuri sasa kukaguwa vyoo ni vya kuchuchumaa wenyewe wanaita squart, hapohapo shule ikawa disco, maana Mmarekani hawezi kutumia Choo cha kuchuchumaa.

Kwahiyo hizi nyingine za mleta mada ni story tu za kulipamba tangazo lake.

Ni kama vile wanywaji Pombe na wavuta sigara kila ugonjwa lazima wapimwe mkwala kwenye sababu zinazosababisha ugonjwa.

Kwa kifupi hizo ni swaga tu.
 
Una pointi kubwa sana. Actually kuna tafiti zinazoonyesha kwamba kuna uhusiano kati ya kuongezeka kwa kansa ya utumbo na ile ya nyuma (colorectal and anal cancers) na kuanza kwa matumizi ya vyoo vya kukaa katika nchi za Kimagharibi japo hawajajua kama ni uhusiano wa kibahati tu au ni uhusiano wa kiusababishi (cause and effect).

Kwenye vyoo vya kukaa uchafu tumboni huwa hauishi na uchafu huo unaweza kusababisha matatizo makubwa (ikiwemo kansa) hasa ukioza na hatimaye kuathiri mfumo wa bakteria wazuri wa tumboni.

Vyoo vya kukaa pia visiposafishwa vizuri na mara kwa mara huwa na bakteria wengi hatarishi na hivyo ni rahisi kupata maambukizi ya kila aina. Hali ni hatari zaidi hasa kama ni choo cha umma.
 
Ila hii kusema maulimbile ya mwa Africa hapa , maumbile ni saw tunapshan lifestyle tuu

Wazungu wanakula kwa discipline ila sisi unakuta umekula chapati kavu na mandaaz ukakalie choo cha kukaaa huwez kunya KBSA kwakuw chakula kgumu hukupata maji na matunda ya kulainsha
 


Wallaih Aya yako ya mwisho inakuanika wewe hapo kinagaubaga na sio mleta mada.
 

Nakubaliana na wewe, nina ushahidi
 


Mleta mada yuko sahihi sana.

Binaadam ameumbwa kuchutama ili kutoa Taka zilizopo ndani ya mwili wake.

Na hata kwa wanawake kuna tafiti zinathibitisha kwamba kuchutama wakati wa kujifungua (kusukuma mtoto) ni kheri na bora zaidi kuliko kulala “chali.


Mungu Fundi.
 
Umeeleza vizuri sana vyoo vya kukaa ni silent killer! Hivyo lengo ilikuwa watumie wagonjwa, wazee na walemavu tu
 
Safari zangu zote ughaibuni (USA included) sikuwahi kamwe kukiona choo cha kuchuchumaa. Kamwe sikukiona. Mnaopenda vya kuchuchumaa ni hiyari yenu lkn aliyetutangulia technology yuko vya kukaa. Vya kuchuchumaa ni upgrade toka vya shimo kijijini. Wanaleta maneno meengiiii, urongo mtupu.
 
Haya mambo yanategemea mtu amekulia kwenye choo gani tangu utotoni, waliokulia vyoo vya shimo wengi wao wanateseka wakitumia vyo vya kukaa, lakini waliokulia vyoo vya kukaa wanasumbuka sana wakihamia vyoo vya kuchuchumaa

Sijui Prof. Janabi anatushauri nini juu ya hili
 
Hapa hatukatai muonekani wa choo cha kukaa!
Tunachokikataa ni ile dhana ya kujisaidia ukiwa umekaa!

Ni kweli zamani vyoo vilikuwa vya mashimo, juu ya miti, hata vichakani! Ustaarabu ulipokuja ukaja na choo cha kuchuchumaa pasipo kuharibu ile dhana asilia ya maumbile!

Ndiyo maana kiufundi bado tunakushauri kwenye hicho choo cha kukaa unaweza kuweka side bench ili uweze kupanda na kuchuchumaa!

Teknolojia iliyobora ni ile inayoendana na maumbile
 
Faida za choo cha kulenga ni kumsaidia mtumiaji kuwa na shabaha ya maisha! Tafiti zinaonyesha kuwa wengi wanaoshinda bet hutumia vyoo vya shimo vya kulenga😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…