Kama Spika Ndugai ana uchungu na deni la taifa, awatoe bungeni Halima Mdee na wenzake kwani hawana chama

Solution ni katiba mpya tu ndio nchi inaweza kuponywa na kutokuwa na viongozi wa hovyo na wahuni kama huyu Ndugai.

Huu ni mnara wa Babeli live bila chenga.
Kamandaaa 😂😂😂

Ova
 
Hakuna anayewaonea, hao covid 19 ni batili siyo wabunge ni genge la wahuni tu kama huyo mwehu wa Kongwa.
Waache wale Kodi zetu nchi hii kila mtu mwizi, basi tu utakuta hajapata nafasi ya kula
 
Ni ushauri tu kwa Spika mzalendo Dr Job Ndugai.

Halima Mdee na wenzake 18 waliingizwa bungeni kinyemela bora hata hilo deni la kupambana na madhara ya Corona la Tsh 1.3 trillion liliwekwa hadharani na mh Rais Samia.

Maendeleo hayana vyama!
Jangili mwenzako
 
Waache wale Kodi zetu nchi hii kila mtu mwizi, basi tu utakuta hajapata nafasi ya kula

IMG-20211228-WA0011.jpg
 
Ni ushauri tu kwa Spika mzalendo Dr Job Ndugai.

Halima Mdee na wenzake 18 waliingizwa bungeni kinyemela bora hata hilo deni la kupambana na madhara ya Corona la Tsh 1.3 trillion liliwekwa hadharani na mh Rais Samia.

Maendeleo hayana vyama!
Spika anahusika ktk kupaa kwa deni la taifa anawalipa covid 19 bila kuwa na chama
 
Ni ushauri tu kwa Spika mzalendo Dr Job Ndugai.

Halima Mdee na wenzake 18 waliingizwa bungeni kinyemela bora hata hilo deni la kupambana na madhara ya Corona la Tsh 1.3 trillion liliwekwa hadharani na mh Rais Samia.

Maendeleo hayana vyama!
Ndugai naye ni Dr?
 
John Leo inamgeuka rafiki Yako, wakati unampongeza Kwa uamuzi ule hukuona madhara Leo unamruka, kweli wanakijani mna utamaduni Kwa kipekee na weledi wa viwango vyenu tu.
Huyu john ni punguani.... kichwa maji
 
Back
Top Bottom