abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakati Muafaka kujiandaa kwa chaguzi zijazo. Wale watu muhimu na wagombea machachari huko CDM wekeni mkakati wa ukaribu na wananchi tupige chaguzi safi zilifute hili bunge la mamluki kwa za hayo mengine tutayapata.Hii nchi tajiri sana,,,Kama ningekua rais wabunge wangefanya kazi za wakuu wawilaya,madiwani si wapo,,,hakuna malupulupu,gari za m50 zinatosha ningeuza v8 zote na nyumba za kawaida m50 tu,,,hakuna waziri (wakurugenzi wangefanya hiyo kazi) serikali yangu ingewekeza Kwenye kilimo,utalii,ningeuza ndege zote na kununua trekta na vifaa vyakulimia kila kijiji,kuagiza dawa,mbolea nakuuza kwa bei rahis kwa wananchi,,,,ningetengeneza mazingira mazuri ya utalii,jiji la Dar lingejaa magorofa tu watu wapange kwa bei nafuu,,big mall kariakoo,,,mana inaingiza kodi sana pale,,,mishahara ya Teachers,Doctors na nurses ingekua mikubwa kuliko ya wabunge ningefuta wabunge wote wa viti maalum,na tamisemi,,,kodi,umeme,kwenda kutalii,nyumba zakupanga za serikali hela zote zingelipwa online,Cag angekagua mapato kila mwezi,,,na ufisad wa aina yoyote ungedhibitiwa kwani kungekua na mahakama zakuwashtaki
Wabango wanapenda longolongo nyingi wakati wanaja chanza cha matizo yote ni katiba mbovuSolution ni katiba mpya tu ndio nchi inaweza kuponywa na kutokuwa na viongozi wa hovyo na wahuni kama huyu Ndugai.
Huu ni mnara wa Babeli live bila chenga.
Bila katiba mpya na tume huru nikupoteza muda mtapigwa mapanga hadi mchakalikeNi wakati Muafaka kujiandaa kwa chaguzi zijazo. Wale watu muhimu na wagombea machachari huko CDM wekeni mkakati wa ukaribu na wananchi tupige chaguzi safi zilifute hili bunge la mamluki kwa za hayo mengine tutayapata.
Hivi hujui wale wabunge wa Covid 19 wanalipwa kwa kodi zetu?Acheni kuwaonea hao wabunge 19, Deni la nchi hii halijasababishwa na wao, hata huyo ndugai ni mnafiki
OkayNi ushauri tu kwa Spika mzalendo Dr Job Ndugai.
Halima Mdee na wenzake 18 waliingizwa bungeni kinyemela bora hata hilo deni la kupambana na madhara ya Corona la Tsh 1.3 trillion liliwekwa hadharani na mh Rais Samia.
Maendeleo hayana vyama!