johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna anayewaonea, hao covid 19 ni batili siyo wabunge ni genge la wahuni tu kama huyo mwehu wa Kongwa.Acheni kuwaonea hao wabunge 19, Deni la nchi hii halijasababishwa na wao, hata huyo ndugai ni mnafiki
Kamandaaa 😂😂😂Solution ni katiba mpya tu ndio nchi inaweza kuponywa na kutokuwa na viongozi wa hovyo na wahuni kama huyu Ndugai.
Huu ni mnara wa Babeli live bila chenga.
Waache wale Kodi zetu nchi hii kila mtu mwizi, basi tu utakuta hajapata nafasi ya kulaHakuna anayewaonea, hao covid 19 ni batili siyo wabunge ni genge la wahuni tu kama huyo mwehu wa Kongwa.
Jangili mwenzakoNi ushauri tu kwa Spika mzalendo Dr Job Ndugai.
Halima Mdee na wenzake 18 waliingizwa bungeni kinyemela bora hata hilo deni la kupambana na madhara ya Corona la Tsh 1.3 trillion liliwekwa hadharani na mh Rais Samia.
Maendeleo hayana vyama!
Waache wale Kodi zetu nchi hii kila mtu mwizi, basi tu utakuta hajapata nafasi ya kula
Spika anahusika ktk kupaa kwa deni la taifa anawalipa covid 19 bila kuwa na chamaNi ushauri tu kwa Spika mzalendo Dr Job Ndugai.
Halima Mdee na wenzake 18 waliingizwa bungeni kinyemela bora hata hilo deni la kupambana na madhara ya Corona la Tsh 1.3 trillion liliwekwa hadharani na mh Rais Samia.
Maendeleo hayana vyama!
Ndugai naye ni Dr?Ni ushauri tu kwa Spika mzalendo Dr Job Ndugai.
Halima Mdee na wenzake 18 waliingizwa bungeni kinyemela bora hata hilo deni la kupambana na madhara ya Corona la Tsh 1.3 trillion liliwekwa hadharani na mh Rais Samia.
Maendeleo hayana vyama!
Huyu john ni punguani.... kichwa majiJohn Leo inamgeuka rafiki Yako, wakati unampongeza Kwa uamuzi ule hukuona madhara Leo unamruka, kweli wanakijani mna utamaduni Kwa kipekee na weledi wa viwango vyenu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]