Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu tuje tuyaendeshe huku kwenye barabara yenye matuta kama pipaHiyo ni steering ya racing cars. Sasa sijui unamaanisha watu tununue magari ya Formula One
Ndio maana max mad.Halafu tuje tuyaendeshe huku kwenye barabara yenye matuta kama pipa
Labda anataka waje kuendeshea kwenye barabara ya mwendokasi
Wakuu, tuendelee kupambana tupate pesa halali.
View attachment 3063364
View attachment 3063365
D for Drink. Unaweza weka beer au maji.
Kwa hiyo magari ya kileo ni kama PlayStations/PS3?Wakuu, tuendelee kupambana tupate pesa halali.
View attachment 3063364
View attachment 3063365
D for Drink. Unaweza weka beer au maji.
KabisakabisaWw tuambie tuu tutafute pesa ila sio mambo ya kutuambia iwe pesa halali
Kuna ka ukweli fulani ila umeshindwa kuwasilisha. Magari yanaenda na technology ya wakati husika. Mfano IST nyingi hapa mjini ni za 2005! Ya 2023 ni wachache wanaiwezaWakuu, tuendelee kupambana tupate pesa halali.
View attachment 3063364
View attachment 3063365
D for Drink. Unaweza weka beer au maji.
Ford ranger hiyo. Kumbe wewe ndio yule dereva wetu sio?Mad max kakosa picha ila magari ya sasa hivi mengi yana button nyingi kwenye Steering wheel yake...View attachment 3063396View attachment 3063397
Dereva wenu mkimpa Wildtruck si mtamtukana sana akichelewa safari mliyomtuma mtaona kama mmempa damu..Ford ranger hiyo. Kumbe wewe ndio yule dereva wetu sio?
Mad Max anataka tuendeshe formula 1Mad max kakosa picha ila magari ya sasa hivi mengi yana button nyingi kwenye Steering wheel yake...View attachment 3063396View attachment 3063397
Umejisahau pia na wewe yale magari yako...Mad Max anataka tuendeshe formula 1