Kama Steering Wheel ya gari lako haina Buttons, we bado unajitafuta!

Kama Steering Wheel ya gari lako haina Buttons, we bado unajitafuta!

Kuna ka ukweli fulani ila umeshindwa kuwasilisha. Magari yanaenda na technology ya wakati husika. Mfano IST nyingi hapa mjini ni za 2005! Ya 2023 ni wachache wanaiweza
Bila kusahau ndinga nyingi tunazoziita mpya hapa bongo Nissan Murano, Harrier, Vitz new model nk nyingi niliziona kwenye Prison Break
 
Masikini Mad Max watu wanamshukia Kama mwewe kwa kuhisi ameleta kitu kisicho na uhalisia kumbe ni umasikini wao ulioshindwa kuwaonesha dunia inaendaje [emoji24]

Masikitiko ni kuwa wanahisi ni choka mbaya kumbe sio kweli
Mimi Corolla yangu haina hizo button Ila nilishatoka kwenye kujitafuta Sasa nakula vya dingi
Kagusa watu kwenye mshono[emoji28]
 
Masikini Mad Max watu wanamshukia Kama mwewe kwa kuhisi ameleta kitu kisicho na uhalisia kumbe ni umasikini wao ulioshindwa kuwaonesha dunia inaendaje 😭

Masikitiko ni kuwa wanahisi ni choka mbaya kumbe sio kweli
Mimi Corolla yangu haina hizo button Ila nilishatoka kwenye kujitafuta Sasa nakula vya dingi
Hadi uzi nikaukimbia.. Watu wana hasira 😂😂
 
Dashboard ya Ford Wildtruck ya kibabe.
20240507_154331.jpg
20240507_154333.jpg
 
Back
Top Bottom