Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Si lazima sana watu wote kuhangaika na matumizi ya sukari. Kwanza sukari si nzuri ki afya. wataalamu wengi wameilaani sana.
Mimi nashauri badala ya kulia lia tuje na mbadala. Serikali haizalishi sukari siyo kazi yake hiyo. kama watu mnaona sukari ni ghari basi tumieni tu asali hiyo ni njema zaidi.