Kama Taasisi, TFF acheni kulumbana na Haji Manara, he has nothing to lose!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Hivi kribuni Nd Wallace Karia wa TFF kaingia ligi ya kujibizana na "crazy" Haji Manara, msemaji wa Yanga.
Katika tafrani hili linaloenda kukua chizi huyu Manara sasa kawaingiza tope TFF.

Lakini kuna msemo maarufu kuwa "Never argue with fool, people might not notice the difference".

Na hao ndio Wallace Karia alipofikia na TFF yake.
 
Umeshamsikia Karia akiliongelea hili. Zaidi tff wanapigia tuu mstari vifungu vya sheria then kina haji na yanga wanaicheza ngoma
 
Umeshamsikia Karia akiliongelea hili. Zaidi tff wanapigia tuu mstari vifungu vya sheria then kina haji na yanga wanaicheza ngoma
Karia and co. wataadhirika.
Michezo na siasa there is a fine line hapo!
 
Anaeleta siasa ni karia? Karia,and tff wanafata vifungu tu. Na hakuna influence yoyote ya serikali itaingilia kwenye hili.
Karia and co. wataadhirika.
Michezo na siasa there is a fine line hapo!
 
Mimi sijamsikia Karia akiongelea hili.
 
Vipi kama hao wanaolumbana wote ni fools? Let them argue bhana.
 
Leo kuna kitu aidha nitathitisha uongo au ukweli wa maneno ya wanayanga pale Kwa Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…