Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #61
Kwa akili yako ndogo unakomaa kabisa kuwa kuongeza watumishi mishahara ni sababu ya kuongeza inflation? Kwa hiyo mishahara ikiongezwa ndio wataongeza matumizi?Swali la uchumi hilo.
Unaelewa inflation ni nini?
Au unadai mishahara iongezwe kama ngumbaru asiyejua uchumi tu?
Mkuu upo sawa kiulewa wa mambo?Kwa hiyo serikali ikipandisha mishahara ndiyo gharama za maisha zitapungua?
Ukweli mchungu. Lazima uchumi ukue kwanza pesa ya kulipa iwepo. Ndio uongeze mshahara. Vingenevyo itakuwa danganya toto na serikali kujilimbikizia madeni.Kwa hiyo hawastahili nyongeza?Mbona wanakatwa kodi inaenda Serikalini kama ni kwa wahindi na wachina wasiachwe tu?Watu walipe kodi wanaofanya kazi kwa wachina wewe upewe nyongezza ya mshahara?Sasa sikiliza Chagu,Ili nyongeza iwepo lazima uchumi ukue.
Kuwa sawa ni nini na mambo hayo mambo gani?Mkuu upo sawa kiulewa wa mambo?
Huduma kama zipi?Nyongeza hamna mpaka uchumi ukue acheni ujingaTunataka tulipwe vizuri ili tutoe huduma nzuri ili watu Kama nyie muache kulalamika huduma mbovu serikalini
Unataka uzalishaji wa namna gani ili ujue kuwa uzalishaji umekuwa? Kama nchi ilikiwa ya uchumi wa chini sasa tupo uchumi wa kati mdogo bado hujatambua kuna mabadiliko? Vipi kuhusu makusanyo ya kodi kutoka bil 800 mpaka tril 2?Kuwa sawa ni nini na mambo hayo mambo gani?
Idi Amin alimwambia waziri wake wa fedha achapishe hela nyingi amalize tatizo la kukosekana hela, mpaka leo shilingi ya Uganda inachechemea kutokana na maamuzi yale.
Rais wa Tanzania naye achapishe fedha ili kukidhi mahitaji ya watu ya ongezeko la mishahara?
Kuna vitu vya msingi vya kuongeza uzalishaji na kukuza uchumi nimeandika hapo juu, sisikii mjadala kuhusu hilo, nasikia sana habari za mishahara tu.
Tunataka inflation?
Rais wako kakwambia uchumi umeshuka kutokana na Corona.Unataka uzalishaji wa namna gani ili ujue kuwa uzalishaji umekuwa? Kama nchi ilikiwa ya uchumi wa chini sasa tupo uchumi wa kati mdogo bado hujatambua kuna mabadiliko? Vipi kuhusu makusanyo ya kodi kutoka bil 800 mpaka tril 2?
Umesahau kauli ya waziri mkuu ambayo hata wewe unaishabikia? Kuwa hawataki kuongeza mishahara kisa mfumuko wa bei utatokea? Maana yake ni kuwa serikali sasa hivi inapesa za kutosha kuongeza mishahara ila hawataki.Rais wako kakwambia uchumi umeshuka kutokana na Corona.
Au hujasikia?
Halafu jiheshimu huku upo na wazaz wakoAcha utoto dogo. Kupata mshahara unaostahili ni haki ya kikatiba. Jiwe aliahidi ataongeza baada ya kukamilisha kazi zake. Sasa nyingi zimekamilika tatizo lipo wapi?