Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hasa yule aliyekua reporter wa ITV anajiona utafkiri yeye ana akili kuliko watu woooote jamani nchi inavituko hiiVijana wengi tumeaminiwa na kupewa madaraka makubwa sana , lakini Madaraka hulevya mno , ukuu tunaopewa unatulewesha na kudhani wengine wasio na madaraka si chochote wala si lolote
Haya ni mambo ambayo mtu anatakiwa afunzwe tokea utotoni.Vijana wengi tumeaminiwa na kupewa madaraka makubwa sana lakini Madaraka hulevya mno, ukuu tunaopewa unatulewesha na kudhani wengine wasio na madaraka si chochote wala si lolote!
Je, kama nchi tufanyeje ili kuondoa hali hii?
View attachment 1697892
Zamani kulikuwa na chuo cha chama pale Kivukoni. Ndio hico wamekigeuza kuwa Mwalimu Nyerere Memorial UniversityWapewe darasa LA uongozii na miiko na maadili yakeee.
Unataka kutuambia kwamba wanaopewa uongozi waangaliwa hata jinsi walivyolelewa ?Haya ni mambo ambayo mtu anatakiwa afunzwe tokea utotoni.
Tabia za kiuongozi anatakiwa awe nazo kila mtu hivyo zinatakiwa watoto wetu walelewe hivyo.
Mtoto asilelewe kuwa mtu wa chuki na majivuno pale anapopata,akikua na tabia hii hata katika uongozi hatokuwa na tabia hizo za chiki na majivuno
Noo waangaliwe tabia zao sio walivyolelewa.Unataka kutuambia kwamba wanaopewa uongozi waangaliwa hata jinsi walivyolelewa ?
Nakala iende kwa Mamlaka za uteuziNoo waangaliwe tabia zao sio walivyolelewa.
Mtu kalelewa miaka 50 nyuma utamuinaje sasa.
Angalia tabia zake namna anavyokaa na watu utajua tu kwamba anatabia gani,yaani achunguzwe hasaa.
Wengine wanaweza kulelewa vibaya wakaja kubadilika mbele hivyo kumhukumu kwa alivyolelewa sio jambo la kuzingatia.
Muhimu aangaliwe ana tabia gani sasa hivi.
Nakifahamu saaana. Hapo ndipo walipokosea. Wakuuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, idara zote na makatibu wakuu wote wanatakiwa kwakweli wawe wamehitimu chuo cha taaluma ya uongozi.Zamani kulikuwa na chuo cha chama pale Kivukoni. Ndio hico wamekigeuza kuwa Mwalimu Nyerere Memorial University
Right. Suala hili la upungufu wa kimaadili kwa viongozi lilishwahi kungelewa na Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru. Alikuwa anawaongelea Hapi na Makonda, kwamba madaraka yamewazidi kimo kiasi kwamba wanajiona ni miungu watu. Watengeneze kozi kwenye vyuo vingine kwa ajili ya kusomesha watu hawa maana ya uongoziNakifahamu saaana. Hapo ndipo walipokosea. Wakuuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, idara zote na makatibu wakuu wote wanatakiwa kwakweli wawe wamehitimu chuo cha taaluma ya uongozi.
Mwenyekiti wa chama analizungumziaje hili ?Right. Suala hili la upungufu wa kimaadili kwa viongozi lilishwahi kungelewa na Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru. Alikuwa anawaongelea Hapi na Makonda, kwamba madaraka yamewazidi kimo kiasi kwamba wanajiona ni miungu watu. Watengeneze kozi kwenye vyuo vingine kwa ajili ya kusomesha watu hawa maana ya uongozi
Vijana wengi tumeaminiwa na kupewa madaraka makubwa sana lakini Madaraka hulevya mno, ukuu tunaopewa unatulewesha na kudhani wengine wasio na madaraka si chochote wala si lolote!
Je, kama nchi tufanyeje ili kuondoa hali hii?
View attachment 1697892
Usihofu ccm tutawanoa viongozi wetuu.Right. Suala hili la upungufu wa kimaadili kwa viongozi lilishwahi kungelewa na Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru. Alikuwa anawaongelea Hapi na Makonda, kwamba madaraka yamewazidi kimo kiasi kwamba wanajiona ni miungu watu. Watengeneze kozi kwenye vyuo vingine kwa ajili ya kusomesha watu hawa maana ya uongozi
Nakala iende kwa Mamlaka za uteuzi
Vijana dhaifu upendwa sana na awamu hii.Nakala iende kwa Mamlaka za uteuzi