Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kwani suala si kuongeza ufanisi kwa kuwa na miundo mbinu ambayo inaweza kusababisha kupitisha tani elfu 58.
Je, hatukuweza kutafuta namna ya kupata njia ya kuboresha miundo mbinu? Bandari ni eneo la meli kutia nanga na kuweza kushusha mizigo. Hapa ni kuwa eneo la kutosha na vifaa vya kisasa.
Cranes, winches, Forklifts za kisasa nazo mpaka uwekesaji? Je, tungekopa na kuwekeza wenyewe kama hakuna pesa isingewezekana?
Kama nchi haiwezi kuuzwa na kugawanyika kwa nini kuwe na mkataba wenye vipengele ambavyo vinatia mashaka?
Bisu limegusa mfupa ukweli umeanza kujulikana.