Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Hiyo ndio tafsiri ya demokrasia. Wanaounga mkono mawaza "A" wanaandamana j,tatu na wale wanaounga mkono mawazo "B" wanaandamana J,tano. Tabu iko wapi?Ndio una uhuru ila huna uhuru wa kuhatalisha usalama wa nchi in the name of freedom
hili jambo la Palestine-Israel ukilibeba kiimani Lina leta chuki kubwa na mpasuko ndani ya jamii
jiulize vipi na wagaratia nao watake kufanya maandamano wakiwa na mabango Yao makuubwa I STAND WITH ISRAEL KILL ALL TERRORISTS wafia dini wa upande wa pili watafurahi? kama tulikua neutral kwenye RUSSIA-UKRAINE na hakuna maandamano yoyote WHY palestine? who are they? what so special about them?
kumbuka Kuna vijana wetu wawili wa Tanzania wenzetu blood of our own hatujui Hali zao harafu mpumbavu mmoja alie soma dini ikatafuna uwezo wake wa
1) reasoning
2) analysis
3) evaluate
aje atu alibie Amani na utulivu hii haikubari nchi yetu haina dini haiongozwi kwa misingi ya dini yoyote
hatutaki dini moja ijione ni bora kuliko nyingine
kama anaona ndugu zake wanaonewa why don't he just go to palestine akae Frontline akapigane na Israel kuliko kutupigia kelele mitaani kwetu
#HAMAS FREE OUR KIDS
Kifupi kuandamana ni kutoa hisia, dukuduku, mawazo yako na kujumuisha wale wote mnaoshabihiana kimawazo na kuyaeleza kwa jamii kwa njia ya mkusanyiko "maandamano".
Hii haimzuii mwingine mwenye mawazo tofauti na wewe kuuandamana na kukusanya wenye mawazo kama yeye na kuingia mtaani. Hapo tabu iko wapi? Ni uchanga wa Demokrasia tu. Siku moja tutafika huko.
Huko kwingine wenzetu makundi yote hayo mawili uliyoyataja yanaandamana na jioni yanarudi nyumbani na kula ugali kama kawaida. Kuwepo kwa bendera za Kipalestina leo mtaani na kesho bendera za ki- Israel ni sawa tu.