T Thebony Member Joined Aug 16, 2012 Posts 92 Reaction score 2 Sep 15, 2012 #1 Kila kitu shida,maji,umeme,usafiri,hospital,elimu vyote taabu tu.Yaan mpaka TCU nao wanataka kubembelezwa wakat mtu ana vgezo vyote vya kujiunga na chuo.
Kila kitu shida,maji,umeme,usafiri,hospital,elimu vyote taabu tu.Yaan mpaka TCU nao wanataka kubembelezwa wakat mtu ana vgezo vyote vya kujiunga na chuo.