Kama tanzania ingekua daladala ningeomba konda aniache kwenye tuta

Kama tanzania ingekua daladala ningeomba konda aniache kwenye tuta

Thebony

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
92
Reaction score
2
Kila kitu shida,maji,umeme,usafiri,hospital,elimu vyote taabu tu.Yaan mpaka TCU nao wanataka kubembelezwa wakat mtu ana vgezo vyote vya kujiunga na chuo.
 
Back
Top Bottom