🤣 🤣 🤣 🤣 🤣mputa, Shule ambayo darasa zima wamepata zero nao wafanyweje?
Mwalimu makini kwa asili ya mtiihani yetu nirahisi kuotea mtihani. Hata mtoto anayejitambua, akifanya paper 10 tu zilizopita akazielewa vizuri anafaulu mtihani kwa A. Maswali mengi yanajirudia. pia hizi shule toka kuanza wanachukua watoto wenye ufaulu mkubwa na wenye ushindani lazima wafanye vizuri. Na walimu wao wanalipwa vizuri wanatumia muda mwingi kusoma. Hakuna maajabu , shule zetu za serikali walimu wamechoka wamejaa stress, hakuna muda wa kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi kwa ukaribu. Pia wanafunzi wananidhamu huko hakuna suspension,ukisumbua unafukuzwa. Mazoezi mengi yanasaidia sana kufaulu, muhimu mwanafunzi afanye kwa kuelewa atafaulu hataawe wa kata.Zile tests wanazofanya wiki kadhaa kabla ya mtihani wa taifa ndizo za kuhakikiwa.
Walimu waseme hayo maswali huwa wameyatoa wapi.
Haiwezekani mfanye test leo, then kesho kwenye necta mkute 95% ya maswali yalikuwepo kwenye tests mliyofanya jana.
Unforgetable
Shule nyingi wanafunzi wakati wa likizo hawaruhusiwi kurudi na material zozote za kieleimu kutoka shuleni kwao zaidi ya nguo zako tuu unganisha dotsZile tests wanazofanya wiki kadhaa kabla ya mtihani wa taifa ndizo za kuhakikiwa.
Walimu waseme hayo maswali huwa wameyatoa wapi.
Haiwezekani mfanye test leo, then kesho kwenye necta mkute 95% ya maswali yalikuwepo kwenye tests mliyofanya jana.
Unforgetable
Kuna mwalimu mmoja alikuwa nondo sana kwenye geography miaka ya 2010 alikuwa ilboru ila sasa sijui alipo nasikia private wameshamvuta kwa pesa nzuri zaidiSasa kama darasa lina wanafunzi 30 tuu na walimu walio professional kabisaa unategemea nini
Wacha wivu boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.
Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu wa kuwapima uelewa wao usikute kuna mchezo mchafu, inatia shaka sana darasa zima kufaulu kwa pointi 7, hebu fuatilieni.
We peleka watoto wako kule St Mary's wakale chips kuku, wadekiwe vyumba vya madarasa, mabweni wafuliwe nguo, watandikiwe vitanda, lakini F4 wanapata divisheni za ajabu,Kuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.
Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu wa kuwapima uelewa wao usikute kuna mchezo mchafu, inatia shaka sana darasa zima kufaulu kwa pointi 7, hebu fuatilieni.
Kwani huko walikokuwa walifundishwa na masomo ya A leval pimbi au wewe kusoma huko Nyamisati ukafail inakuuma sanaKuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.
Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu wa kuwapima uelewa wao usikute kuna mchezo mchafu, inatia shaka sana darasa zima kufaulu kwa pointi 7, hebu fuatilieni.
Wewe unamawazo kama yangu, wanafunzi wengi wanazani kufaulu ni kukariri summary za walimu, mazoezi na kusolve past paper hawafanyi hafu, kufikilia possible za maswali ya NECTA hawafanyi wenzao wakifaulu wanalalamika kuwa wameibiaMwalimu makini kwa asili ya mtiihani yetu nirahisi kuotea mtihani. Hata mtoto anayejitambua, akifanya paper 10 tu zilizopita akazielewa vizuri anafaulu mtihani kwa A. Maswali mengi yanajirudia. pia hizi shule toka kuanza wanachukua watoto wenye ufaulu mkubwa na wenye ushindani lazima wafanye vizuri. Na walimu wao wanalipwa vizuri wanatumia muda mwingi kusoma. Hakuna maajabu , shule zetu za serikali walimu wamechoka wamejaa stress, hakuna muda wa kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi kwa ukaribu. Pia wanafunzi wananidhamu huko hakuna suspension,ukisumbua unafukuzwa. Mazoezi mengi yanasaidia sana kufaulu, muhimu mwanafunzi afanye kwa kuelewa atafaulu hataawe wa kata.
Na wapimwe piamputa, Shule ambayo darasa zima wamepata zero nao wafanyweje?