PLATO_
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 116
- 230
Filamu za bongo movie zimekosa mvuto kabisa hii ni kutokana na kutawaliwa na watu wanaoona kipaji ndo kila kitu.
In fact kipaji bila maarifa ni kazi bure, Huwezi kuwa na idea za kuteka maskio na macho ya watu wala huwezi kuwa na creativity za kusisimua.
Angalia jinsi filamu za kikorea, kifilipino, kituruki zinavyotesa soko la filamu: hii ni kutokana kwamba imeshikiliwa na wasomi na wenye vipaji.
Mwigizaji kama Song Il-kook aliecheza tamthilia ya Jumong anashahada katika fani ya maigizo. kipaji chake na maarifa ya sanaa ya uigizaji aliyoyapata chuo ndio unapata movies kali alizowahi kuzicheza.
Ukosefu wa maarifa ndio unafanya wasanii wetu wanakuwa na idea za kucheza movie za mapenzi tu as if Mapenzi ndo kila kitu.