Kama TBC mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia mngewaachia wanaoweza!

Kama TBC mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia mngewaachia wanaoweza!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran nakuta wanaonyesha sijui vinini! Yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani?

Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi.
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran Nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi
TBC 2 NDIO WANAONYESHA WORLD CUP Sasa Kaa hapo usilipe kifurushi
 
Inavyoelekea wamechaguliwa games za kuonyesha Mkuu.
 
nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya england na iran !nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli,tbc ina chanel ngapi kwani? kama mlijua hamuwez kuonyesha mechi zote mngeacha tu azam wapige kazi
Yan nimekereka sana hata mimi mpaka nikawaza ivi hakuna channel nyingine kwanini lakin hawakupewa Azam hii kazi? Inakera na inaboa sana ndo maana soka la bongo ni utumbo mtupu
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya england na iran !nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli,tbc ina chanel ngapi kwani? kama mlijua hamuwez kuonyesha mechi zote mngeacha tu azam wapige kazi
Mwenye matatizo ni wewe uliyeamini wahuni.
 
Inavyoelekea wamechaguliwa games za kuonyesha Mkuu.
Wamechaguliwa na nani? FIFA wanatoa haki za kurusha hii michezo yote moja kwa moja bure kwa vyombo vya habari vya taifa kama TBC bure nchi wanachama zote.

Huyu anayewachagulia TBC cha kurusha anawanyiwa burudani watu wasio na uwezo wa kulipia vyombo binafsi vinavyorusha hii michuano. Kheri wasingerusha hata hivyo vimechi tuchache.
 
Mbona iko wazi wameruhusiwa kuonesha game 28 nane tu. Kipya kipi hapi? Wewe endelea kubahatisha tu
 
Back
Top Bottom