Kama TBC mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia mngewaachia wanaoweza!

Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran nakuta wanaonyesha sijui vinini! Yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani?

Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi.
hawawezi na hawatakaa waweze
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran nakuta wanaonyesha sijui vinini! Yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani?

Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi.
Mkuu hiyo TBC ni bora tu usiiangalie.. Quality mbovuu mnoo.

Wana mechi 32 tu so nyingine hutaziona.
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran nakuta wanaonyesha sijui vinini! Yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani?

Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi.
Hv TBC Wana HD kwl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…