THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari Wanajukwaa La Michezo,
Mimi kabisa nianze kwa kusema sio Muumini na siamini kama Ushirikina kua eti unafanya kazi asilimia 100 katika maswala ya football, Yani I mean Team Nzima kuanzia Bench la Ufundi, viongozi na wachezaji waroge halaf Team ishinde. SIAMINI
Ila Mi Naamini katika zile Imani za Mtu Mmoja Mmoja ambazo hua anazo Mtu.
Mfano unakuta Mchezaji anaamini tu kua nikianza kuingia uwanjan huku nimeangalia Juu hua tunashinda na Nina Funga hizo ni Imani za kawaida sana na hazina uhusiano na Ushirikina.
Ni Mfano na zile mtu kipindi unasoma unaamini kabisa Nikiandikia Kalam NYEUSI Hua na tusua au Nikisomea Darasa Flani Pepa hua inakuja Nyepesi.
Kingine Mi naamini Pia Ushirikina una enda na Ushirikina Mwenzake kama Team Moja ikifanya hivo na nyingine ikafanya hivo basi Mambo hua yana iva Hapo alie na DAWA kali ndie atashinda Match. Ila ikitokea kama Team Moja isipofanya Ushirikina na Nyingine ikafanya Ushirikina ambae hajafanya Ushirikina ikawa ni Team Bora pia Basi Tarajia Hio Team itashinda tena ushindi Mzuri sana wa goli Nyingi.
Yan ni sawa na Jini ulitoe kwa kutaja Jini lenzake haiwezekan lazima utumie jina la nguvu tofauti.
Niseme tu Hivi atakae acha kushika Dawa siku ya Derby naamini atashinda tena Match itakua na goli Nyingi tu sio kama zile za nyuma za kuisha sare ya 1-1 au 0-0 au Ushindi wa 1-0 au.
Na Team zisiposhika Dawa zote tutarajie Match moja Bora ya kila pande na wachezaji kutokufungwa Miguu Bori Litatembea pande zote, na Makocha wataonyesha Mbinu zao.
Ila kama Team zote zitashika Dawa yan kufanya ushirikina basi tutarajie Match isiyokua na Ufundi au kuisha kwa suluhu au ushindi wa 1-0.
#IF GOD IS FOR US,WHO CAN BE AGAINST US?🏹