Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

UNAPOFIKA WAKATI WA USAJILI KAMA SSC JAMII FORUM SSC TUNAWEZA TUKATOA MAONI KWA UONGOZI NA WAKATUWASILISHIA KWA AHMED ALLY.

(HUMU Kuna MAKOCHA, Kuna wachezaji na wadau kibaao WA MPIRA WA Miguu)

NILIWAAMBIA MJIANDAE KISAIKOLOJIA.
MECHI NNE ZA CAF USHINDI 0
CAF CL SALE 2.
AFL Sale 2

NILIWAAMBIA MJIANDAE KISAIKOLOJIA.

 
Kauli za kumuheshimisha Ndg, Rage...

Eti Kufa Kiume...

Ovyo kabisa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Utopolo ni vigeugeu Sana . Ndiyo Maana Manara alisema wote hamna akili .
Yanga tangu ianzishwe leo ina miaka takribani 90 sawa na mahasimu wao simba .Hawana kikombe hata cha uji cha CAF sawa na simba. Ila cha ajabu ni kila muda kuisema simba vibaya utafikiri wao walishawahi kuuchukua huo ubingwa wa CAF .
Baada ya kupigwa na USMA mwaka jana kauli zilikuwa tumetolewa kwa kanuni ya goli la ugenini .Na ndiyo mnayotembea nayo hadi leo hii. Simba katolewa kwa kanuni hiyohiyo leo mnamdhihaki .
Niseme tu kwamba Luc Eymael alikuwa sahihi kuwaita majina yote aliyoona yanawafaa.
 
Back
Top Bottom