johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni ngumu kukuelewa watu hao. Chama cha watu ni watu waliojengwa katika ideology ya chama.Chadema ni chama cha siasa sio Building Construction Company inatakiwa kujenga taasisi imara sio kujenga maghorofa, iko wapi TLP yenye ghorofa iko wapi CUF yenye ghorofa iko wapi NCCR yenye ghorofa, ghorofa bila kuwa na taasisi imara ndani yake ni sawa na gofu tu.
Hilo ni genge la wakoraMkuu kile chama ni cha hovyo sana!
Kimetoka kwa bamkwe na kwenda kwa bamkwe!
Usitegemee kuona cha maana hapo