Kama TLP ina ghorofa Magomeni, CUF inalo Buguruni na NCCR walikuwa nayo Bunju. Nashauri Wana-CHADEMA kuhakiki mali zenu sasa

Chama chenye kusubiri mitumba kijani na kufanya ndio nguo zao za sikukuu, sasa kinajijenga nini kama hadi sasa kinategemea mitumba kwa wana kijani?
 
Mama fukuza kazi Waziri wa Mifugo na Uvuvi, wamejipanga kuharibu mradi wa ufugaji samaki kwa kutumia vizimba. Mradi huu unaenda kuwa kama ule wa mtoto wa Mseven kule Uganda. Usije kusema hatukukwambia mapema Mama. @UvuviNa @tadbtz
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza kutafta uchochoro
 
Una uhakika hati ya ghorofa unalosena ni la TLP pale Magomeni imeandikwa jina la chama cha msigina katiba Leo Lwekama?
 
Una uhakika hati ya ghorofa unalosena ni la TLP pale Magomeni imeandikwa jina la chama cha msigina katiba?
 
Gorofa syo chama.
Mbona hivyo vyama havifurukuti kama vina magorofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…