Uchaguzi 2020 Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?

Wengi wachangiaji (Wapingaji) ni ubishi tu. JPM hakuna aliowasahau kwenye utekelezaji wake. Tena kuna miradi ambayo ukianza kuhesabu huwezi ukamaliza, amegusa kila sekta. Hawa wanaoongozwa na mlevi wa konyagi ambao hawaonekani na wanafanya kikao kimoja kwenye jengo la chama chakavu mara moja kwa mwaka tena baada ya tsunami. Chama chao kwa ujumla baada ya kuangukia pua hawawezi kuzidi Watanzania ambao wanaona vitu kwa vitendo sio kuambiwa.

Hakuna yeyote mwenye akili timamu ambaye angewapa kura upinzani. The warning was clear and infront of them, but as usual walikuwa wanafikiri Watanzania ni wajinga. Walijisahau na JPM alivyo mwerevu aliwapa bila kukosa kila mwezi ruzuku ya 330 million na ushee. Sasa mwaka huu nangoja kuona ruzuku yao itakuwa ngapi? Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hivi wewe P ni mzima kweli ? Kwani waliokotwa jalalani wameisha ? Safari Jiwe asipokuteua akakupa hata ukuu wa wilaya basi ujinyonge tu maana unavyohangsika Kama kuku anataka kutaga mayai ya kijani kibichi .
 
Hivi wewe P ni mzima kweli ? Kwani waliokotwa jalalani wameisha ? Safari Jiwe asipokuteua akakupa hata ukuu wa wilaya basi ujinyonge tu maana unavyohangsika Kama kuku anataka kutaga mayai ya kijani kibichi .
Typical JF member, wacha wivu kwani P sio Mtanzania? Akichaguliwa kufanya kazi yoyote ile kuna ubaya gani?
 
Bila aibu mmebakiza kumlamba makalio tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…