Kama tu Kocha 'Mweledi' Nabi anasema Ligi bado ni 'Ngumu' nyie 'Matulatula' mnapata wapi 'Jeuri' ya kusema kuwa Msimu huu 'Ubingwa' ni Wenu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na ili kuonyesha kuwa Kocha Nabi siyo 'Tulatula' kama wana Yanga SC wengi amekataa kabisa Kukiri kuwa kwa Mechi hizi za Ligi zilizochezwa tayari na Yanga SC inavyoshinda ndiyo ishara ya kuwa Mabingwa kwa Msimu huu wa 2021 / 2022.

Na sijui ni kwanini huwa hamjifunzi au sijui ndiyo huu ( huo ) ninaouita 'Utulatula' mlionao ndiyo unawasumbua au ni nini. Kila Msimu huwa mnaongoza Ligi kwa muda mrefu tu ila cha Kushangaza mzunguko wa Pili mwenye Mpira wake na Kombe lake huja kuwapita na Kuchukua Kombe na mnabaki kusema Simba SC inabebwa na Visingizio vya kila aina ili Kujifariji na Kujiliwaza.

Naifananisha Yanga SC na Mwanafunzi ambaye anatumia muda mwingi na nguvu nyingi Kusoma kwa Bidii ila matokeo yakitoka Anafeli na Simba SC namfananisha na Mwanafunzi ambaye hasomi sana, haudhurii Darasani kila mara, mtoro mtoro, mpenda Kula Bata tu, ila ikikaribia Mitihani husoma maeneo Muhimu ya 'Notes' za Walimu wake na Anafaulu kwa Kiwango cha juu ( cha Kutakata ) na kusonga mbele Kitaaluma.

Ukitaka kujua Undani wa aliyoyasema Kocha Mweledi Nabi kwa tusiojua Kiingereza Wenzangu tusome Gazeti letu la Nipashe la Leo na kwa wale mnaojua Kiingereza someni Gazeti lenu la Daily News la Leo pia.
 
kumbe habar za magazeti [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tatizo la yanga wachezaji ni walewale hivyo mayele au fei wakichoka au kupata majeruhi hawana mbadala
Wewe naona una matatizo ya akili sio bure, kwaiyo unataka kusema yanga inamtegemea fei toto na mayele? Kaangalie chat ya wafungaji ya yanga kwanza ndo uje uropoke ugoro wako apa, yanga mchezaji yeyote anafunga aijalishi anacheza nafasi gani ata kipa diarra anaweza akafunga vile vile yanga ya sasa sio ya kukariri utaumia bure
 
Na ili kuonyesha kuwa Kocha Nabi siyo 'Tulatula' kama wana Yanga SC wengi amekataa kabisa Kukiri kuwa kwa Mechi hizi za Ligi zilizochezwa tayari na Yanga SC inavyoshinda ndiyo ishara ya kuwa Mabingwa kwa Msimu huu wa 2021 / 2022..
Endeleeni kukariri na kuwa kama fisi anaemfatilia binadamu kwa nyuma akijua mkono wa binadamu unaoning'inia utaanguka mda wowote aufaidi, yanga ya sasa imeenea kila idara kiufundi usiifananishe na yanga ya misimu 4 iliyopita utakuwa unajisababishia msongo wa mawazo tu maana mpira unachezwa adharani kila mtu anaona na unapobisha ubishe kwa fact na sio porojo za ushabiki oya oya
 
Sasa ukitaka asemeje.. jiongeze ww, unatafuta kila Aina ya justification ili ujipe moyo kuwa Mikia mtachukuwa ligi mwaka huu,,, Sahau hyo kabisa
Kwa msimamo ulivyo shabiki wa mpira hawezi kuandika huu utula tula wako. Eti sahau kabisa..halafu gap lenyewe ni points 5 na mchezo mmoja zaidi.
 
Kwahyo unawadanganya Makolo wenzio kuwa mtachukuwa ligi mwaka huu😛😛😛 masikini nyie Makolo mnatabu sana.. kwanza mechi na Azam mnagongwa sasa sijui mnatukuta lini..!!!
Tushawaambia mwaka huu tuna Jambo letu Wananchi mbona hamuelewi nyie Makolo..
Hv kwa Mpira tunaocheza Nihesabie hata Timu 3 zinazoweza kutufunga sisi ndani ya msimu huu(Tena nyie Makolo ndo mjitoe kabisa, tar 11 ilikuwa bahati yenu tu kutoa draw
 
Wanadanganyana Eti Yanga Atadondosha Point Mzunguko Wa Pili Af Wao Watakuwa Wanashinda Tu.
Sio kudanganyana, ulichoandika inawezekana kutokea ndio maana tunasema ligi bado mbichi. Gap lenyewe ni points 5 na mchezo mmoja zaidi , sasa hilo gap ni la kuwaaminisha ligi imeisha?
Kwahyo unawadanganya Makolo wenzio kuwa mtachukuwa ligi mwaka huu😛😛😛 masikini nyie Makolo mnatabu sana.. kwanza mechi na Azam mnagongwa sasa sijui mnatukuta lini..!!!
Tushawaambia mwaka huu tuna Jambo letu Wananchi mbona hamuelewi nyie Makolo..
Hv kwa Mpira tunaocheza Nihesabie hata Timu 3 zinazoweza kutufunga sisi ndani ya msimu huu(Tena nyie Makolo ndo mjitoe kabisa, tar 11 ilikuwa bahati yenu tu kutoa draw
Sawa shabiki maandazi.
 
Ligi bado ni ngumu sana,dirisha dogo timu zinasajili pia,ligi ilivyoanza kuna baadhi ya timu ndogo ziliyumba ila mda unavyoenda wanazidi kukomaa kwenye ligi ,Kocha yuko sahihi
 
Kwahyo unawadanganya Makolo wenzio kuwa mtachukuwa ligi mwaka huu[emoji14][emoji14][emoji14] masikini nyie Makolo mnatabu sana.. kwanza mechi na Azam mnagongwa sasa sijui mnatukuta lini..!!!
Tushawaambia mwaka huu tuna Jambo letu Wananchi mbona hamuelewi nyie Makolo..
Hv kwa Mpira tunaocheza Nihesabie hata Timu 3 zinazoweza kutufunga sisi ndani ya msimu huu(Tena nyie Makolo ndo mjitoe kabisa, tar 11 ilikuwa bahati yenu tu kutoa draw
Wewe mama j , hapa ndipo unapoonesha umama j wako. Utopolo wenyewe baada ya kuona mashambulizi yanawaelemea michezaji yenu ikawa inajiangusha uwanjani ili kuvuta muda .Umiliki wenu wa mpira wa mabeki na kurudisha kwa mdaka mishale nao unasema mliupiga mwingi? Ama kweli yule kocha Luc Eymeil na Manara hawakukosea kuwaita yale majina
 
Huna mpya wewe Kolo mwaka huu mutavimba hzo sura dadeq.. kombe hili ni la la Yanga na GSM.. lazima tuchukuwe kombe mwaka huu Tena tunatangaza mapema kabisa
 
Thinking capacity....below average

Back
Top Bottom