Kama tu Kocha 'Mweledi' Nabi anasema Ligi bado ni 'Ngumu' nyie 'Matulatula' mnapata wapi 'Jeuri' ya kusema kuwa Msimu huu 'Ubingwa' ni Wenu?

Kama tu Kocha 'Mweledi' Nabi anasema Ligi bado ni 'Ngumu' nyie 'Matulatula' mnapata wapi 'Jeuri' ya kusema kuwa Msimu huu 'Ubingwa' ni Wenu?

Kama Kuna Shabiki anajiamini hapa aje aseme/ataje Timu inayoweza kuifunga Yanga bongo hii...
Kama Makolo ndo nimewatoa kabisa...
Mwaka huu tunachukuwa kombe tena tukiwa Unbeaten
 
Huna mpya wewe Kolo mwaka huu mutavimba hzo sura dadeq.. kombe hili ni la la Yanga na GSM.. lazima tuchukuwe kombe mwaka huu Tena tunatangaza mapema kabisa
Jenga hoja ueleweke sababu za utopolo kubeba ubingwa. Acha kubwabwaja wewe msukule.
 
Timu iliyoenea kila idara ndo ile niliyoiona ikibebwa mechi ya Namungo na Biashara au kuna nyingine?
Kama ni ile ni suala la muda ndani ya mechi nane zijazo itakuwa haiongozi ligi .I'm sure
 
Back
Top Bottom