GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na ili kuonyesha kuwa Kocha Nabi siyo 'Tulatula' kama wana Yanga SC wengi amekataa kabisa Kukiri kuwa kwa Mechi hizi za Ligi zilizochezwa tayari na Yanga SC inavyoshinda ndiyo ishara ya kuwa Mabingwa kwa Msimu huu wa 2021 / 2022.
Na sijui ni kwanini huwa hamjifunzi au sijui ndiyo huu ( huo ) ninaouita 'Utulatula' mlionao ndiyo unawasumbua au ni nini. Kila Msimu huwa mnaongoza Ligi kwa muda mrefu tu ila cha Kushangaza mzunguko wa Pili mwenye Mpira wake na Kombe lake huja kuwapita na Kuchukua Kombe na mnabaki kusema Simba SC inabebwa na Visingizio vya kila aina ili Kujifariji na Kujiliwaza.
Naifananisha Yanga SC na Mwanafunzi ambaye anatumia muda mwingi na nguvu nyingi Kusoma kwa Bidii ila matokeo yakitoka Anafeli na Simba SC namfananisha na Mwanafunzi ambaye hasomi sana, haudhurii Darasani kila mara, mtoro mtoro, mpenda Kula Bata tu, ila ikikaribia Mitihani husoma maeneo Muhimu ya 'Notes' za Walimu wake na Anafaulu kwa Kiwango cha juu ( cha Kutakata ) na kusonga mbele Kitaaluma.
Ukitaka kujua Undani wa aliyoyasema Kocha Mweledi Nabi kwa tusiojua Kiingereza Wenzangu tusome Gazeti letu la Nipashe la Leo na kwa wale mnaojua Kiingereza someni Gazeti lenu la Daily News la Leo pia.