Kama tukifuga wale mijusi weupe nyumbani tunaweza kuondokana na tatizo la mbu

Aisee hii mijusi Ni msaada sana kwenye ulaji wa mbu na kimsingi wanasaidia kupunguza idadi ya mbu nyumbani,sasa hivi home Nina mijusi 100 huwa sihangaiki kupiga dawa siku huzi,Mambo yanaenda naturally
Weka picha ya mjusi
 
Picha tafadhali
 
Back
Top Bottom