Kama tulikuwa na makamu wa Rais wawili, kwanini tusiwe na wakuu wa shule (Headmaster) wawili wawili kuongeza promotion na udhibiti wa shule?

Kama tulikuwa na makamu wa Rais wawili, kwanini tusiwe na wakuu wa shule (Headmaster) wawili wawili kuongeza promotion na udhibiti wa shule?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Kusema ukweli mwalimu mpaka aje kuwa headmaster ni ngumu sababu wapo wengi na mpaka mkuu wa shule aje kustaafu ina maana na mwalimu wa kawaida anastaafu.

Sasa kwanini kila shule isiwe na wakuu wawili wanapeana majukumu, mmoja akisimamia taaluma mwingine anasimamia fedha za shule na miradi. Hiyo itakuwa promotion tosha na vyeo vitaongezeka.

Nb: Ninaiomba serikali inirudishe kazini kwani jina langu limo kwenye payroll ya ualimu. Mbona mh. Makonda Paul alimrudisha mwanamuziki mmoja ktk ualimu.
 
yupo m/m/msaidizi.
au second master or mistress.
ilikuwaje ukaondolew kazin?
 
Back
Top Bottom